Kibiti Raha Sanaaa

Best time to buy is when there is blood in the street.
 
Best time to buy is when there is blood in the street.
hapo kama una hela na akili unatajirika faster matajiri wengi wametoka hivi kwa kutumia fursa kama hiz. Mfano was Marekani fest and sekend weld war. Walionunua nyumba na estates wakati wa global economic crisis huko Spain na Greece sasa hivi wanafurahi matunda
 
Kuna muwekezaji anatafuta shamba kubwa kwa ajili ya kufuga Nguruwe na kujenga Kiwanda cha kutengeneza Soseji hapo hapo katika eneo la shamba. Inawezekana mkuu!?
 
Wewe mbona baba yako hakununua kibanda huko kwenu wakati wa Vita ya Kagera!?
 
Back in days nilisoma upili ya juu KIBITI miaka imepita ni sehemu iliokua nzuri nashangaa Sana Kama kwasasa limegeuka pango la hooligans.
Nilifika Utete...chemichemi ya maji moto, pazuri asikwambie mtu...ukaone menyewe...Nimefika na Nyaminywili....unapishana na mamba kwenye mto ukiwa na mtumbwi wa gogo...wachaa!
 
bila usalama bila amani hata kama hela niyakuchota kama maji ya bahari ujue kuwa wewe ni mkimbizi ndani ya nchi yako
 
Nilifika Utete...chemichemi ya maji moto, pazuri asikwambie mtu...ukaone menyewe...Nimefika na Nyaminywili....unapishana na mamba kwenye mto ukiwa na mtumbwi wa gogo...wachaa!


Bwana wee sasa hivi yote haya hayawezi kuonekana au kuskika tenaa, watu wanawaza ubaya ubaya tu.
 

Yeah sure mkuu, maana uko mbeleni hali itatulia na kadri mji wa dar unavyopanuka kwa speed ya kutisha sanaa hayo maeneo watu watakuja kuyalilia hawataamini.
 
Asituambie mtu? Wakati wewe tayari umeshatuambia
 
Umejuaje kwamba hatuna bifu nao na kipi kinachokupelekea usizanie kuwa hao wafanyayo yanayofanyika sio wao?
 
waswahili wanakwambia leo et


Mwezi umeonekana kibiti kama unabisha nenda
 
Atumwe Willy Gamba yule mpelelezi wa KIKOSI CHA KISASI
 
hahahahaah yule wa mastori ya kusadikika huko magazetini?
Ndio imani za Watanzania zilivyo na akili za kushikiliwa mkuu sasa kama wameshindwa kushughulikia wahalifu kule kibiti si bora tumlete mpelelezi wa kwenye vitabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…