Kibiti Raha Sanaaa

Umeongea ukanisisimua mkuu
Its dope!
 
Huo mkakati wako ni wa hovyo utashindwa tu hata kabla ya kuanza. Badala take mambo ndio kwanza yataescalate na kuenea nchi nzima Hakuna mahali duniani kote ving'ora, magari ya deraya, helikopta mizinga,vifaru na bunduki vimefanikiwa kuweka amani ya kudumu kwenye mioyo ya raia
 
Kwani Wewe ndio niliye mquote hapo juu?Niliye mquote anaitwa consultant na wewe unaitwa 666 chata,ni vp ukajibu wewe?

Multiple id's kazini,endelea kujijibu.
Hub ni mjadala wa wazi bro. Acha Hasira
 
Mimi ntaenda, maana naamini hakuna eneo Tanzania hii et lipo kama Dafur au Tikrit au Benghaz

haya mambo yanayotokea leo kibiti ni kwa vile tu watu flan bado hawajalichukulia ili kama tatizo serius, wanazani ni upepo tu utapita.
Yeah sometimes iko haja ya kuonja ladha ya Darfur Allepo na Mosul maana hatujui tuendako na bwana dereva!
 
Ngoja niandae milioni moja nidake 2 plots, kwakuwa Tanzania Mungu ametujaalia kusahau matukio mapema hivyo miaka 4 mbele nitaviuza kwa fedha nzuri tu.
 
Nasiki VIROBA si Vimefungiwa jamani au Bado vipo mtaani?
 
Kwa ulichokiandika hapa,kweli siwezi kuruhusu unifanyie consultation hata kwa dawa..
Nimesema mimi ni layman tu kwenye mambo hayo. Ningependa kusikia analysis yako wewe mtaalamu.
 
Naona unataka kutuletea Balaa unawataja Al shabab na washawahi kusema kama watahitajika Al shabab waje serekali iombe watakuja
 
una kaupungufu fulani mkuu si bure!
 
wapi kuna mzaha umefanyika? unapajua kibiti? acha mambo yenu ya kuuchafua mji wetu maana naona sasa mnaambizana Tanzania nzima kama huu mji ni jehenamu, acheni mambo yenu kabisa.
ungekuwa ni mwana mtoka huko au unaishi huko ungeeleweka.
we mlugaluga wa mwanangati kichemchem limekukwama ndo umeamua kutoka nalo hivi. LOH!!!
tafuta waliohuko kibiti kwa bidii uwaulize je maisha yao kwa sasa yako sawa na waliozoea zamani?
 
Hata kama viwanja vinapatika bure eneo hilo, jamii itakuelewa vibaha, pale unapofurahia hali hiyo, inayotokea huko ya mauaji, maana hayo yote yaliyorahisi kwa hivi sasa, vinapatikana kutokana na mauaji yanayoendelea, watu wamekimbia makazi yao, ila nafsi zinatofautiana sisi tunajisikia huzuni wewe furaha.
 
You are not serious are you happy with what's happening there?
 
Umesema majambazi yamejichanganya na jamii halafu unasema ifanyike ambush!

Hawafanyagi ambush bila kuwa na pre-information za adui alipo. Ndo maana ya kufanya reconnaissance na kujua potential locations/nyumba ambazo maadui wameweka kambi. Kama wanaishi na raia na ikafanyika kazi nzuri ya uchunguzi (ile intelijensia yetu), chances za kuwapata ni kubwa. Unless wawe wanaishi porini na wanaingia vijiijini usiku tu kufanya mambo yao.
 
Umerahisisha saaaana mkuu... ungekuwa mtendaji wa iyo mission ungeona ugumu wake.... usipende amank wakati wa vita utakifa mapema ...


Afu ile ni wilaya usidhani .... ni uwanja wa mpira uzibe mageti watu wasitoke....

Then muuaji sio jiwe kwamba hana movement.....

Mwisho unachokiwaza baada ya tukio ni zaidi ya alichokiwaza muuaji kabla ya tukio....

Sio rahisi kiivyo.
 
Maoni yako hayaeleweki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…