Japo si vyema kubeza hasa katika kipindi hiki kigumu, ila kuna ka udhaifu flani ndanibya Jeshi tukufubla police.
Kwa ulayman wangu wa mambo ya kiintelijensia, nafikiria mbinu ambazo zinaweza kutumika. Haya maharamia hayaishi porini. Yapo mulemule yamejimix na watu. Fanya ambush. Funga barabara za kuingia na kutoka kwa masaa kadhaa. Anza msako wa nyumba kwa nyumba. Rusha aircraft juu iangaze kiurahisi. Tanguliza mashushushu wafanye some kind of ground work. Etc. Etc.
Haya mengine sijui ya kutaka kumtuma CDF akaongee na wazee ni mbwembwe tu na kutafuta huruma kwa wasiohusika.
Kwa ulichokiandika hapa,kweli siwezi kuruhusu unifanyie consultation hata kwa dawa.Japo si vyema kubeza hasa katika kipindi hiki kigumu, ila kuna ka udhaifu flani ndani ya Jeshi letu tukufu la police.
Kwa ulayman wangu wa mambo ya kiintelijensia, nafikiria mbinu ambazo zinaweza kutumika. Haya maharamia hayaishi porini. Yapo mulemule yamejimix na watu. Fanya ambush. Funga barabara za kuingia na kutoka kwa masaa kadhaa. Anza msako wa nyumba kwa nyumba. Rusha aircraft juu iangaze kiurahisi. Tanguliza mashushushu wafanye some kind of ground work. Etc. Etc.
Haya mengine sijui ya kutaka kumtuma CDF akaongee na wazee ni mbwembwe tu na kutafuta huruma kwa wasiohusika.
naskia huko kuna mauaj knoma sasa cjui raha unaipataj sasahahahaha hapana mzee, ni vile wanataka kuendelee kuupaka matope tu mji wetu
Kwani Wewe ndio niliye mquote hapo juu?Niliye mquote anaitwa consultant na wewe unaitwa 666 chata,ni vp ukajibu wewe?Akili ndogo sana hizi, kwaio hapa mie natoa msaada au ushauri wowote? hahahahaha
Umesema majambazi yamejichanganya na jamii halafu unasema ifanyike ambush!Japo si vyema kubeza hasa katika kipindi hiki kigumu, ila kuna ka udhaifu flani ndani ya Jeshi letu tukufu la police.
Kwa ulayman wangu wa mambo ya kiintelijensia, nafikiria mbinu ambazo zinaweza kutumika. Haya maharamia hayaishi porini. Yapo mulemule yamejimix na watu. Fanya ambush. Funga barabara za kuingia na kutoka kwa masaa kadhaa. Anza msako wa nyumba kwa nyumba. Rusha aircraft juu iangaze kiurahisi. Tanguliza mashushushu wafanye some kind of ground work. Etc. Etc.
Haya mengine sijui ya kutaka kumtuma CDF akaongee na wazee ni mbwembwe tu na kutafuta huruma kwa wasiohusika.
Back in days nilisoma upili ya juu KIBITI miaka imepita ni sehemu iliokua nzuri nashangaa Sana Kama kwasasa limegeuka pango la hooligans.
OK umeeleweka Fanya wewe ni askari Polisi umepangiwa kibiti hapo vipi utakwenda au unaachia ngazi