Kibiriti au lighter

Kibiriti au lighter

mwl

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
1,101
Reaction score
913
Jamaa walijifungia wakila bangi, muda kidogo kibiriti kikawaishia, wakamtuma mwenzao atafute kibiriti. Jamaa akatoka kufika nje akamuona mpita njia akamuuliza una kibiriti? mpita njia akamjibu hapana nina lighter. jamaa akarudi kwa wenziwe akawaambia nimekutana na mpita njia hana kibiriti ana lighter. Wenziwe wakamwambia:"we **** sana kalete hiyo lighter" Jamaa akatoka tena akaona mpita njia mwengine akamuuliza una lighter? akajibiwa sina nina klbiriti, jamaa akarudi akawaeleza kuwa aliemkuta ana kibiriti hana lighter, jamaa wote wakaamua kulala.
 
Teh teh teh hii kali. Bangi si ugali.
 
Mbona bangi nzuri ila mnavyoiandama wengine utafikiri hamtumii kumbe ndo burudani yenu!!
 
Back
Top Bottom