Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 27,876
- 72,565
Hongera sana mkuu
Bogota na Monduli tabia za KE zinafanana ni Makatiri na Uhuni wa Kishamba.Ilala na Monduli huko unaokota tu, labda wale wa Chanika na Bogota
😂 😂 😂 😂 😂Bogota na Monduli tabia za KE zinafanana ni Makatiri na Uhuni wa Kishamba.
Chanika unaenjoy tu na hivi wakiskia unaitwa Injinia ni kuvuta, unapiga tako zako 6 unasogea mbali Kama umeua Mtu vile 😂