Kibatari cha JK na Maziwa ya Nyerere | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kibatari cha JK na Maziwa ya Nyerere

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Quinine, Sep 9, 2010.

 1. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,924
  Likes Received: 12,127
  Trophy Points: 280
  Wakati wa uhai wa Baba wa taifa JK Nyerere RIP kulikuwa na uvumi kuwa na maziwa ndani ya kibuyu ambayo yalikuwa hayagandi. Kwa namna hiyo hiyo nasikia kuna mtu kashikilia kibatari cha Kikwete na karibu kitazimika kutokana na upepo wa kisiasa ya kweli hayo.Tujulishane.
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  hujakosea kibatari kinazimika soon
   
Loading...