Yupo kisheria?Wakili msomi mwenye kipaji cha aina yake kwenye tasnia ya sheria nchini Peter Kibatala ni adui namba moja wa haki.
Sijawahi kupendezwa na huyu mwamba ispokua tu alipokuwa anamwakilisha mwamba Mbowe na wenzake kwenye kesi ya ugaidi.
Yani anatetea wauaji mabakaji na majambazi hadi yanashinda kesi.
Na inavyoelekea atamsaidia mjane wa Msuya Miriam Mrita kushinda kesi ya mauaji dhidi ya wifi yake Aneth Msuya.
Hii siyo sawa kabisa kwasababu mjane wa Msuya alishakiri alihusika kwenye haya mauaji.
Lakini bado Kibatala anakomaa tu. Na siyo Kibatala tu kuna hawa kina Magafu, shangazi na wengine wote ni adui wa haki haijalishi ni fani ama nini.
Watumie vipaji vyao vya uwanasheria kuwakilisha mambo yenye mantiki na manufaa hata machoni pa Mungu kama wazee wastaafu kudhulumiwa mafao, madogo yatima kupata mirathi, unyanyasaji wa polisi na kubambikiwa kesi.
Lakini hili lakutetea Majambazi, wauaji na wabakaji hapana.
Wee Subiri tu rinda lako litakapotatuliwa halafu hao waliokutatua washinde kesi mbele yako mahakamani wakiwakilishwa na hawa mawakiliEb toa utapiamlo wako hapa......umetoka kuangalia andha kanoon eee
Hata kamaMkuu,
Ile ni kazi sio charity
Naamini unajua misingi ya wakili pamoja wajibu wake.Wakili msomi mwenye kipaji cha aina yake kwenye tasnia ya sheria nchini Peter Kibatala ni adui namba moja wa haki.
Sijawahi kupendezwa na huyu mwamba ispokua tu alipokuwa anamwakilisha mwamba Mbowe na wenzake kwenye kesi ya ugaidi.
Yani anatetea wauaji mabakaji na majambazi hadi yanashinda kesi.
Na inavyoelekea atamsaidia mjane wa Msuya Miriam Mrita kushinda kesi ya mauaji dhidi ya wifi yake Aneth Msuya.
Hii siyo sawa kabisa kwasababu mjane wa Msuya alishakiri alihusika kwenye haya mauaji.
Lakini bado Kibatala anakomaa tu. Na siyo Kibatala tu kuna hawa kina Magafu, shangazi na wengine wote ni adui wa haki haijalishi ni fani ama nini.
Watumie vipaji vyao vya uwanasheria kuwakilisha mambo yenye mantiki na manufaa hata machoni pa Mungu kama wazee wastaafu kudhulumiwa mafao, madogo yatima kupata mirathi, unyanyasaji wa polisi na kubambikiwa kesi.
Lakini hili lakutetea Majambazi, wauaji na wabakaji hapana.
Kwa hii comment yako nshapata picha we ni mtu wa aina Gani! have a good timeWee Subiri tu rinda lako litakapotatuliwa halafu hao waliokutatua washinde kesi mbele yako mahakamani wakiwakilishwa na hawa mawakili
Huyo mjane wa msuya hata akishinda hawezi kuwa Salama familia lazima italipiza kisasi nje ya mahakama.Wakili msomi mwenye kipaji cha aina yake kwenye tasnia ya sheria nchini Peter Kibatala ni adui namba moja wa haki.
Sijawahi kupendezwa na huyu mwamba ispokua tu alipokuwa anamwakilisha mwamba Mbowe na wenzake kwenye kesi ya ugaidi.
Yani anatetea wauaji mabakaji na majambazi hadi yanashinda kesi.
Na inavyoelekea atamsaidia mjane wa Msuya Miriam Mrita kushinda kesi ya mauaji dhidi ya wifi yake Aneth Msuya.
Hii siyo sawa kabisa kwasababu mjane wa Msuya alishakiri alihusika kwenye haya mauaji.
Lakini bado Kibatala anakomaa tu. Na siyo Kibatala tu kuna hawa kina Magafu, shangazi na wengine wote ni adui wa haki haijalishi ni fani ama nini.
Watumie vipaji vyao vya uwanasheria kuwakilisha mambo yenye mantiki na manufaa hata machoni pa Mungu kama wazee wastaafu kudhulumiwa mafao, madogo yatima kupata mirathi, unyanyasaji wa polisi na kubambikiwa kesi.
Lakini hili lakutetea Majambazi, wauaji na wabakaji hapana.
🤣🤣🤣Eb toa utapiamlo wako hapa......umetoka kuangalia andha kanoon eee
Kwa pesa atashinda sema mahakama inaona tu aibu kumuachia sababu ni kesi maarufu hela washalambaHuyo mjane wa msuya hata akishinda hawezi kuwa Salama familia lazima italipiza kisasi nje ya mahakama.
Kitumbo zaidiYupo kisheria?
Kama kazi ya wakili ni kusaidia Mahakama kutenda haki, inakuwaje wakili huyo huyo anafikia hadi hatua ya ku file fake document mahakamani ili mteja wake ashinde kesi kwa hila!? Kuna muda mwingine lazima uwe na hofu ya Mungu hata kama unashida ya pesa!!Kazi ya Wakili nibkuisaidia Mahakama kutenda Haki , Wengi mnaosema wamekiri Makosa ni wale waliolazimishwa kwa vipigo na mateso