Kibarua wa TANESCO

Kibarua wa TANESCO

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,652
Reaction score
5,624
Jamani salama humu,kuna jamaa nimemaliza nae chuo,lakn mpaka sasa hajapata kazi,Kuna mtu ameongea nae kamwambia kuwa anataka laki mbili ili apate kibarua tanesco,na yeye pesa hana ..je mnamsaidiaje hapo
 
Mmmmh! Sisi ndo tutamsaidiaje au yeye ndo aseme anataka msaada gani?
Pesa?
Tumbembelezee aajiriwe bila rushwa?
Tuite takukuru akamatwe uyo alomuomba laki mbili?
Tukatoe taarifa uongozi wa tanesco/wizara ya nishat?
Tumtafutie ajira sehem nyinngine?
Ama nini sasa anataka
 
Huyo anataka kuliwa, atatoa hiyo 200K na kazi hapati.
mshauri aombe kazi kihalali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom