Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,276
- Thread starter
- #181
Bado kesi inaendelea maswali yataendelea
alitakiwa apigwe maswali ya leading,mfano siku fulani tarehe fulan mida fulani hadi fullani unaweza kutueleza ulikuwa wapi na unafanya nini?
Hilo swali unamuuliza baada ya kumchangana na hayo maswali hapo juu,atakurupuka na kusema sijui,una hakika hujui?
Ndiyo sijui,
kumbe siku hiyo ndo ya tukio,
sasa kama hujui tarehe na mda wa tukio unafanya nini hapa kama shahidi?
Oooh,sorry nilisahau,
what?ati ulisahau kwani hapa unatoa ushahidi wa nini?
"Ooh,sorry mheshimishiwa hakimu,objection,wakili ako na maswali ya mitego yananichanganya"