Kibano cha Ngeleja Bungeni: Hotuba ya Madini na Nishati 2011

Status
Not open for further replies.
kwani kwenu tu, we hujui kama umeme sasa hata ratiba ya mgao wa giza haijulikani? kwetu umekatika saa4 jana usiku mpaka sa hv bado hawajarudisha
 
Huku kwetu Mwenge tangu ulivyokatika jana saa 5 usiku hadi sasa ni giza! Hakuna taarifa ya kubadilika kwa ratiba na wala haijulikani utarudi lini!

Hivi nchi hii ina serikali? Mbona wanafanya mchezo na maisha yetu?
 
tuwasamehe mwenye makengeza anapo kutana na watu hawezi yabadili mwisho wakuchangia amekataa kuunga hoja pamoja na kumpongeza
 
Uroho wa madaraka utaliua taifa, watu hata mchana wanaota madaraka, kauli zote za mbowe ni uroho wa madaraka na watanzania mkichekelea mtapokea machafuko.
 
kwani kwenu tu, we hujui kama umeme sasa hata ratiba ya mgao wa giza haijulikani? kwetu umekatika saa4 jana usiku mpaka sa hv bado hawajarudisha
sisi huku Maswa hatuna mgao wa umeme mkali kama tunaouona miji Mikubwa kama Mwanza n.k huku mgao wa umeme kwa wiki huwa ni wa kubeep ndio maana tunaona maajab.
 
Uroho wa madaraka utaliua taifa, watu hata mchana wanaota madaraka, kauli zote za mbowe ni uroho wa madaraka na watanzania mkichekelea mtapokea machafuko.
magamba bana...hahah .. baba yako kanunua jenereta basi unaona mmewini sio? ngoja afariki mfukuzwe hadi kweney hizo nyumba za serikali ndio utajua maana ya magao wa umeme ni nini
 
Maeneo ya vipaumbele: kupeleka umeme hadi vijijini, kuwezesha STAMICO kufanya kazi, kuendeleza Mgodi wa Kiwira, nk.
Ndoto ya Alinacha, CCM Hii haiwezi ni lazima tukubali kuwa wamezeeka, wamechoka na hawawezi tena MSISITIZO. they are OLD & TIRED
 
haendelei kusema maana itafikia asema maneno ambayo hayaendan na heshima yake! Haungi mkono!
 
Tangu tupate uhuru nimewaona mawazi wote na kushuhudia utendaji wao,lakini let me frank.Sijawahi kuona an incompetent Minister kama Ngeleja.No halisaidii Taifa letu chochote,he should call it quits.
Nikiwa kama mwananchi natoa ombi halali kwa wabunge wetu ambao leo wanatarajiwa kuijadili bajeti ya wizara ya nishati na madini.misingi ya kuipinga bajeti hii iko miwili na iko wazi kabisa.Mosi;suala zima la nishati ya umeme limebakia kuwa kero toka waziri huyu ashike wizara hii.wizara inatuhadaa kwa kuingiza mtambo wa Mw 34 siku moja kabla ya bajeti ili tuone wanafanya effort??!Pili;kuhusu nchi yetu kushindwa kunufaika na madini yanayovunwa kila kukicha badala yake tunaumizwa na uchafuzi wa mazingira pamoja na mauaji ya raia.Kama kwa miaka yote zaidi ya minne tunapitisha bajeti na kusisitiza mambo haya haya bila kufanyiwa kazi sioni sababu ya kupitisha bajeti hii,badala yake tumuwajibishe kwa kumtaka ajiuzulu.Nawasilisha.
 
Hiyo ni kauli ya mbunge wa Kwimba Mhe. Mansoor Hiran, ameeleza matatizo kibao ya umeme katika jimbo lake huku akiunga mkono hoja ya Nishati na Madini 100 kwa 100. Je wabunge wa jinsi hii wanajua wajibu wao?
Sidhani kama wabunge wa CCM kuwashambulia wabunge wa CDM ktk sakata ya umeme kutasaidia kuboresha upatikanaji umeme. Ni utetezi huu unaofanywa na wabunge wa CCM kwa miaka saba haujaisaidia serikali kuboresha upatikanaji wa umeme. Niseme tu kitendo cha kuunga hoja za mawaziri 100 kwa 100 kunapelekea wizara husika kutofanya improvement za muhimu ktk kuboresha huduma. Matokeo yake ni hoja zinakuwa zile zile mwaka hata mwaka kwa sababu wabunge wansema its ok. Kwa kifupi siku wabunge watakapo ongea lugha moja matatizo mengi yatatatuliwa kwa wakati na kwa haraka.
 
Hapa nilipo sina umeme sielewi yaliyojiri hapo bungeni,lakini naamini wabunge wetu watatenda haki kwa kumuwajibisha ngeleja.tuweke ushabiki wa vyama pembeni we need a change!
 
knachotakiwa hapa ni wananchi wote kuingia bara barani na kupinga udhalimu wa serikali.....hv hiv hakuna jipya.....na kikubwa hii bajti itapita japokuwa kuna watu wanapinga sana......tuandamane ili kupinga na kushinikiza serikali iondoke madarakani kuanzian na rais
 
Umeme upi wakati nchi haina umeme? au ni nguzo na waya?
nguzo na waya zipi? Hakuna cha umeme,nguzo wala waya na kwa taarifa ya uhakika WIZARA YA NISHATI NA MADINI IMEJITENGEA BIL 7 NA MIL 900 KWA AJILI YA VIBURUDISHO NA POSHO, WATANZANIA HP MAANDAMANO MAKUBWA YA NCHI NZIMA YANAHITAJIKA KUSHNIKIZA SERIKALI ISIPITISHE BAJET YA NGELEJA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom