Kibanda ni jasiri sana,mimi binafsi nashukuru jamaa bado yuko hai.
Atapona na atarudi mstari wa mbele tu kupambana.
Uhuru wa waandishi hauna kikomo. Siku zote waandishi wanatofautiana kimsimamo na upeo wao pia.
Viongozi wa aina hii akiwa na mkewe utasikia anajigamba na misemo ya aina hii 'And after all,I deserve a little fun',' I couldnt say no'
Tanzania tunaangaliwa kwa umakini sana na UN kutokana na matukio haya ya kugandamiza haki za waandishi.