Kibanda cha M-Pesa kinauzwa

Kibanda cha M-Pesa kinauzwa

mmewadadako

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2019
Posts
534
Reaction score
850
Kibanda kizuri cha kufanyia uwakala, kinachohamishika kinauzwa.

ibanda hicho kipo Mwenge karibu na Bodi ya Mikopo.

Bei ni laki tatu tu (300,000/=)
Mawasiliano;0765494548

picha ya kibanda hio
IMG-20191105-WA0002.jpeg
 
Nina laki na nusu mpendwa kama uko tayari karibu pm kwa ndani kikoje?
 
Jamani ni macho yangu yanapata shda kuangalia hiyo picha au?
 
Jamani ni macho yangu yanapata shda kuangalia hiyo picha au?
Ukisikia kibanda, Hicho ni kibanda kweli kweli,
Maana hapo hata wale mbilikimo wa misitu ya kongo hapo lazima afikirie mara mbili mbili kuingia humo.
hapo wakija majibaba wanakibeba kibanda na mtoa huduma akiwepo humo humo ndani wanaenda kufanyia mahesabu mbele.
 
Mtu bora ununue pipa ukae ndani kuliko hiko kibanda!
Maana pipa ni wastani wa 50k!
 
Ukisikia kibanda, Hicho ni kibanda kweli kweli,
Maana hapo hata wale mbilikimo wa misitu ya kongo hapo lazima afikirie mara mbili mbili kuingia humo.
hapo wakija majibaba wanakibeba kibanda na mtoa huduma akiwepo humo humo ndani wanaenda kufanyia mahesabu mbele.
😂 😂 😂 😂
 
Hata kwenye geti la ikulu unaruhusiwa kukiweka😀
 
Back
Top Bottom