Kibanda awasili Tanzania,amwaga machozi

Kibanda awasili Tanzania,amwaga machozi

jamii01

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,988
Reaction score
1,437
MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Absalom Kibanda amewasili nchini Tanzania akitokea nchini Afrika Kusini alipokuwa amekwenda kwa matibabu baada kuvamia na kutekwa kisha kufanyiwa unyama wa kutisha.
Kibanda ambaye pia ni Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006) Ltd, alifanyiwa unyama huo Usiku wa Februari 25, mwaka huu majira ya saa 09:00 usiku, Kibanda alivamiwa na watu walioingia kwenye uzio wa nyumba yao wakavunja kioo cha gari analotumia, lakini kioo kilipovunjwa ‘alarm’ ilipiga kelele, Kibanda akatoka nje na watu hao wakakimbia.

Akiwa kwenye ardhi ya Tanzania Kibanda alitokwa machozi mengi baada ya kukutana na watu mbalimbali waliokwenda kumpokea,huku akitoa neno la shukrani kwa watu mbalimbali waliojitokeza kumpokea na hata wale waliokuwa naye karibu na waliokuwa wakimuombea siku zote za matibabu yake.
 
.
Mwigulu alienda kumpokea?
.
 
Mkuu hukubahatika hata picha?
Anyway karibu bongo Kibanda
 
Hapo Mbowe mavi yanagonga chu*i kwa unyama aliomfanyia kibanda.
 
Awe makini kwani muhusika namba 1-Ighondu he is still at large, amejificha pale Ikulu, polisi wanashindwa kumkamata...
 
karibu kamanda na mapambano yanaendelea,hata mm yalinikuta na ninaishi na makovu ya majeraha,Mungu bado anahitaji uwepo hapa duniani.Lakini kuna somo kubwa la kujifunza kwetu sote katika hili.
 
pole kwa yaliyokukuta na karibu tena nyumbani
 
karibu kamanda na mapambano yanaendelea,hata mm yalinikuta na ninaishi na makovu ya majeraha,Mungu bado anahitaji uwepo hapa duniani.Lakini kuna somo kubwa la kujifunza kwetu sote katika hili.
Mkuu we ndiyo ulimboka? Pole sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Uli yupo kampala katulia tuli kapewa nafasi ya kusoma chezea tiss yahoo Othumani
 
Interejinsia bado haijamkamata yeyote? Hata wa nchi jirani?
 
Duuuuuuuuh hiyo ndo Tiziiiiiii........!
Karibu ndugu nyumban
 
nimesikia akiongea bbc hapa...kuhusu ukomo wa umri wa mgombea uraisi kwenye rasimu ya katiba.....
mke wa mtu thumuuuuu
 
MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Absalom Kibanda amewasili nchini Tanzania akitokea nchini Afrika Kusini alipokuwa amekwenda kwa matibabu baada kuvamia na kutekwa kisha kufanyiwa unyama wa kutisha.
Kibanda ambaye pia ni Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006) Ltd, alifanyiwa unyama huo Usiku wa Februari 25, mwaka huu majira ya saa 09:00 usiku, Kibanda alivamiwa na watu walioingia kwenye uzio wa nyumba yao wakavunja kioo cha gari analotumia, lakini kioo kilipovunjwa ‘alarm' ilipiga kelele, Kibanda akatoka nje na watu hao wakakimbia.

Akiwa kwenye ardhi ya Tanzania Kibanda alitokwa machozi mengi baada ya kukutana na watu mbalimbali waliokwenda kumpokea,huku akitoa neno la shukrani kwa watu mbalimbali waliojitokeza kumpokea na hata wale waliokuwa naye karibu na waliokuwa wakimuombea siku zote za matibabu yake.

Kumbe alipotoka nje watu hao walikimbia?..ilikuwaje sasa akapelekwa SA kwenye matibabu wakati maharamia walimkimbia, kwa maana walimwogopa hawakumdhuru!
 
Welcome back home brave kibanda, may the almighty God give u strength & protect u against all evil.
 
Karibu kibanda ila na pole sana mkuu Mungu ni mwema kukuponya tena ila wang'oa macho na kucha bado wanakula kuku mtaani wakilindwa na mfumo na ni uhaini kuliongelea suala hilo hata bungeni....wananchi tuna akili time will tell tutakapo chambua pumba na mchele.
 
Back
Top Bottom