Matatizo ya TISS ni lazima wafanye kazi na Wanasheria.
Kwa mfano,Maerkani,December 4,1981,President Reagan alitia sign Executive Order, 12333,ambayo iliwapa uwezo CIA na mashirika mengine ya Intelligenstia ya Marekani uwezo mkubwa zaidi wa kufanya kazi zao. Kwa hii EO12333 ,haki za raaia zinaathiriwa kwa kutegemea Secret Court ambayo iliundwa.
Hii Surveillance Court iliundwa,ina watu saba,waliochaguliwa na Chief Justice Warren Burger,ambao walikuwa clreared na Rais,privately na confidentially,but they were never announced.
Wanafanya vikao kwa siri,na wanasikiliza arguments only from Government lawyers and prosecutors.
Lengo lake kuanzishwa hii Court,ilikuwa kuwathibiti Mashushushu,na kudumisha haki za raia. Lakini many times imekuwa corrupted,na imekuwa chombo cha ufisadi.
But the Court is there,na CIA wakimkamata mtu wanampeleka kwenye hii Court.
That is what you can do here. The Chief Justice can pick a five judges,and if they can be cleared by the President,they can work with TISS nad decide what to do with troublesome people.