Wamiliki Tanzaniadaima wachunguzwe,kwa jambo gani?,unapopost jambo kwenye JF elewa kwamba watu makini wanatumia muda wao mwingi kupekua kurasa,sasa weka jambo linalonyooosha maelezo si brabra za kisiasa
Mi naangalia kwa upana sana, yeye anajua ni nani kamfanyia hivyo na ni kama mazingira matatu, je ni katika uandishi wake(siasa in particular)? je kachukua mke wa mtu? au je kamdhulumu nani pesa/mali?
Yeye anajua wabaya wake na hata kama hawajui basi anawahisi, get well soon.
Maana ndiye aliyesema mchochezi akamshitaki
Dah kweli watu wana mbinu chafu . Kibanda aliwasikia eti afande mpige risasi. Nia yao ni kuupaka matope utawala na jeshi la polisi. Sasa. Hata issue ya ulimboka nimebadilisha mawazo yangu.