Kibamia...kinanipeperushia njiwa wangu!!!

Kibamia...kinanipeperushia njiwa wangu!!!

little hulk

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2014
Posts
1,610
Reaction score
558
Habarini wana jamvi nawasalimu.....
Moja kwa moja kwenye mada... Mimi nina mpenzi wangu na huu ni mwaka wa pili.... Mwanzoni mapenz yalikuwa matamu sana (mapenz ya simu na kupeana hela ndogondogo). Mtoto alikuwa mzuri hatar... nikaapa sitoki kwingine huyuhuyu maana tunaendana na tunapendana sana... basi kama kawaida yao wadada wa leo wanakuzungusha kwa kipndi fulani then wanakupa mzigo... siku ya kwanza mambo yalienda vizuri... siku nyingine mamboyalenda vizur kwangu lakini yy alikuwa disappointed na shaft yang maana aliniuliza "P umeingiza yote?" me nkaguna nikimaanisha bado akasema "ingiza yote bana" ...me nikawa kimya nikaendelea kwa kasi... ila nikamwelewa kuwa mzigo wang haufiki panapo maana hata miguno sio ile ya mwanzo.... sasa toka nilipopata mzigo siku hiyo huyu dada mapenz amepunguza na huwa hajisikii kufanya tena.. visingizio kibao.... naona anatafuta kosa tumwagane....
sasa wakuu hii hali naivumilia lakini naona inanifanya nionekane inferior kwa wadada ambao tayari washakutana na mihogo mikubwa...
natamani kutumia dawa sa asili ili hata niongeze 1 inch lakini sijui nianzie wapi... Ushauri tafadhari niishinde hii karaha...
 
badili style, kifo cha mende kitakushinda kama mamaa ni mbwambwa
 
Ni half time bado tunaongoza. Viva nigeria

Dogo anaomba ushauri na mawazo,kiwango cha uume wake kinamsononesha,kinampotezea bahati,kama huna ushauri bora unyamaze au kaanzishe mada ya mpira kwenye jukwaa husika. Btw nani amekwambia wote tunaishabikia nigeria hapa,au mnaongoza na nani?mi nataka ifungwe hata bao 6.

Tuheshm mawazo ya watu hata kama hatuyapendi,chukulia wewe unaleta mada hapa kutaka ushauri wa jambo linalokunyima amani alafu mtu analeta upuuzi kama huu wako.
 
Tuliza boli dogo kazi na dawa tukiwa sirias muda wite utaichoka Jf soon au we mgeni humu?
 
Dah! walau nitakuwa na hamu ya kuangalia mpira endapo African teams zitasogeasogea.
 
Sijaelewa,Mara ya kwanza uligusa kunako na miguno ikakolea,Mara ya pili ukaelea!
Sasa ilikuwaje mwanzo utoshe then siku mliporudia upelee?
Ila all in all,urefu sio issue.
 
Sijaelewa,Mara ya kwanza uligusa kunako na miguno ikakolea,Mara ya pili ukaelea!
Sasa ilikuwaje mwanzo utoshe then siku mliporudia upelee?
Ila all in all,urefu sio issue.

Maana nami kanichanganya kusema mara ya kwanza mambo yalienda sawa na kingine kusema hakusikia miguno kama ya mwanzo.Nadhani mleta uzi atatolea ufafanuzi hili swala.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom