chuki
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,715
- 534
Wote mnaojadili thread hii ni Chadema . Kwa namna yeyote hamuwezi kuni ended haki CCM . Chama chochote ni muungano wa wanadamu siyo aw malaka. Hata lucifer alikuwa anaishi mbinguni kabla hajafukuzwa kwa kuanzisha makundi na majungu. CCM Ina historia ndefu ya kushughulikia matatizo ya ndani ya Chama . Anaesubiri Chama cha mapinduzi kisambaratike kutokana na migogoro ya ndani atasubiri sana. Kila unapofika Wakati aw uchaguzi hususani Rais anapomaliza miaka yake kumi , makundi ya urais huibuka na akishapatikana mgombea makundi huisha na wote hujiunga pamoja na kutafuta ushindi. Kwa ukweli huo CCM iko imara bila kujali hisia Zeno itongoza cola tena 2015. CCM oyee.