Dadio
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 359
- 42
Wadau JF. Naombeni kufahamu hasa kwa wale ambao walishajenga nyumba zao. Je ni lazima kupata kibali wizara ya ardhi kabla ya kua.za kujenga nyumba ndogo eg.family house? Kama ni ndiyo je ni maeneo yapi hayo ambayo ni lazima upate kibali? Tatu utaratibu wa kupata kibali upoje? Mwisho ni sheria gani ambayo inaratibu hii mambo ya kibali? Asanten.