Kibali cha kuwinda wanyama kinatolewaje?

Kibali cha kuwinda wanyama kinatolewaje?

Moderator tunakuomba rudisha maneno kama yalivyokuwa awali, this thread has made us all laugh.

Mwajuma Mchawi, keep it up, you made my day.

Pdidy haoni ndani kwa MM.
 
Last edited by a moderator:
Jamani hivi serikali inaposema imeboresha elimu ina maana gani? Nadhani iko haja madarasa ya watu wazima ya kaya yarudi tena yaani MEMKWA. Tokea thread ya 1 mtu huyu kuandika ni shida. CCM bado sana kujisifia ubora wa elimu. Apologise lady msaidieni mwanamke mwenzenu huyu MCHAWI.
 
Last edited by a moderator:
ukitaka kujuwa jinzi ya kupatwa kibali cha kuhuwa wanyama pori wa porini mwambie kaka haje makaho makuhu ya mali hasili ya hasili hili haruhusiwe kuwinda mwevzi hunaojao.nawawas.

Chinga One mbavu zangu plz plz ha ha ha JF sijacheka siku nyingi ila leo nimechekaje??

Ha ha ha ..........
 
Last edited by a moderator:
Jamani hivi serikali inaposema imeboresha elimu ina maana gani? Nadhani iko haja madarasa ya watu wazima ya kaya yarudi tena yaani MEMKWA. Tokea thread ya 1 mtu huyu kuandika ni shida. CCM bado sana kujisifia ubora wa elimu. Apologise lady msaidieni mwanamke mwenzenu huyu MCHAWI.

Yaani pastor acha tu, huyu shule kaenda ila kabla ya BRN, kwa sasa atajua tu kupitia jf, ha hah ahaha.
 
Last edited by a moderator:
Vibali vinatolewa kati ya Julai na Disemba kila mwaka. Nenda wizarani utapewa maelekezo mazuri juu ya hilo
 
Back
Top Bottom