Kibaki Succession...

jmushi1

Platinum Member
Joined
Nov 2, 2007
Posts
26,381
Reaction score
25,476
Wakuu kuna baadhi ya videos ambazo zinaelezea uwezekano wa mwanasiasa wa Kenye anayeweza kumrithi Kibaki kwenye uchaguzi mkuu wa Kenya mwaka huu.Chini ni videos ambazo zinawaelezea wanasiasa ambao wanaweza kupata baraka za kugombea urais kutegemea na watakavyozipanga karata zao.Ni wazi kabisa kuwa hakuna atakayeweza kushinda kwa kutegemea kabila lake pekee.Na katiba mpya ya Kenya inamtaka rais apate kura zaidi ya asilimia 50,na pia ashinde kwenye atleast z4 counties.

Raila Odinga: http://www.youtube.com/watch?v=vx2xf3t9Ap0&feature=player_detailpage

William Rutto: http://www.youtube.com/watch?v=4zaPCSQG-vY&feature=player_detailpage

Musalia Mudavadi: http://www.youtube.com/watch?v=OGFGi6abJO4&feature=player_detailpage

Uhuru Kenyatta: Kibaki Succession: Uhuru Kenyatta - YouTube

Martha Karua: http://www.youtube.com/watch?v=RWrlq5qg7J4&feature=player_detailpage

Peter Kenneth: http://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=gsnk-mHDbII
 
PK has a great report card going on Gatanga performance. Will he make it? Damn tribal thingy. Anyway Tunawesmake.
 
Rutto ametangaza kwamba atapambana na Raila,so kazi ipo kwa upande wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…