Sasa unataka nini wewe? Sisi tunamambo yetu na wao wanayo yao. Je kwanini hajachachalika na Al-shabab?Kwa hiyo?
Hatukuzoea mambo hayo huoni hata jembe la kulima kwa mkono tunaagiza nje ila ngoma tunaweza kutengeneza
Jengeni uchumi kwanza, michezo gharama, gharama zinataka uchumi.
Nigeria wametumia USD 15 million kuandaa timu ya Olympic na hawajafanya lolote la maana. Possibly because that was not enough according to their strategy.
Watu masikini mnataka kujitutumua kwenye extravagant fleeting shows, wakati watoto wanasumbuliwa na njaa, utapiamlo na ujinga.
Kweli mental slavery ni mbaya...Jengeni uchumi kwanza, michezo gharama, gharama zinataka uchumi.