hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaMchina alipigwa mtama na kibaka na kuporwa simu,mchina akaanza kumfukuzia kibaka wake,kibaka alipoona haichwi akaweka simu chini halafu akaendelea na mbio,mchina akachukua simu yake na kuendelea kumfukuzia kibaka,kibaka alipoona hali ngumu akamwambia mchina,simu yako nimekupa nini tena unataka!
mchina akamwambia bado sijakupiga MTAMA.
Naomba nikukabidhi jina la Mzee wa majokes moto
Teh teh thanks bby