Kibaka aduwaza walinzi Ikulu

  • Thread starter Thread starter raisi
  • Start date Start date

lol!, lol! (alqaeda wangeenda mpaka chumbani kwake)
Very true though, no wonder Rais wa Marekani travels with his limo.
The whole ikulu security need to be changed for the safety of our Prez and his family. Unbelievable!
 
Nilikuwa sijaiona hii, hahahaha hii kali you guys have made my weekend. Hiyo ndio Bongo Darisalama. Weekend njema wote.
 
Iliyoratibu wizi wa EPA!

Kwi kwi kwi.

Do you mean Ernest & Young, is that a public institution? no bro, in fact it was a private institution came up with that.

Can you please provide me one public institution which is performing by at least 90%?

For the time being you have been rewarded 0%.... Kindly try once again, Otherwise you will be discontinued!
 

Kasheshe nadhani hujaelewa jibu lake,
Nilivo muelewa mimi ni kwamba inst. ambayo iko very effective bongo ni ile iliyo husika kusuka na kufaniksha mpango wa wizi wa EPA.
 
Huyo jamaa alikua apelekwe Muhimbili kuchunguzwa akili lakini naona kwamajibu yake ana akili timamu. Walinzi ndiyo wangekuwa Rumande
 
Asiduwaze vipi wakati kila kitu hapa ni izeee. Ni hao waliomtuhumu ndio wanaotakiwa kutuhumiwa na wananchi waliowatuma kuilinda ikulu yao na wala si huyo mwananchi ambaye alitaka tu kuonesha ni kwa kiasi gani kila idara ina matobo ya kutisha.
 
FFU, kupiga waandanamaji.

Your right, because they are ought to behave like a dogs, so they do what their master's want them to do and they are ought not to reason but to act immediately.
 
Mnakumbuka kituko kile cha Ikulu kuungua kisa pasi?
 
Waliokuwa zamu ya ulinzi hapo,wana hali mbaya.
Bora wangekaa kimya na kuishia kumhoji wenyewe isije kuwa ametenda baya zaidi ya jaribio la wizi.
Kitendo cha kutetemeka ni ishara hawapo tayari kukabiliana na hatari ya aina yoyote.
ELIMU KWA WALINZI.
1.Jua mavazi
2.Jua eneo lako la ulinzi na majukumu yako.
3.Fahamu unatakiwa ufanye nini pindi asiye husika anakaribia/ingia eneo lako la ulinzi
4.Ufanye nini uharibifu ama wa moto au kurushiwa vitu kwenye eneo lako.
5.Unapokea amri za utendaji kutoka kwa nani.
Wengine waongezee kuwa saidia hawa watoto wa flani ambao hawaja pata muda wa kuhudhuria mafunzo bali kuwepo kwenye pay roll za..TAASISI BILA FANI WALA TIJA.
 

...dah, nilidhani angeshitakiwa kwa kosa la trespassing. Hiyo ya kuchuma ua kali,...uraiani wangejuaje ameingia Ikulu bila kuchuma 'Hibiscus?'

Inanikumbusha yule jamaa aliyekwea kuta za Buckingham Palace na kuibukia chumbani kwa malkia... 😀

 
Huyo jamaa ni kutoka Pemba nini maana kila kitu wanatupiwa wao ,yaani hata wizi wao wanaonekana kuwa mastadi,inanikumbusha ile filamu ya mcheza sinema wa kimarekani,ambae alikuwa polisi mweusi,alipofuatana na mwenziwe ambae ni polisi mzungu ,sasa walipofika kwenye nyumba ikabidi kufungua kufuli ikatokea kutazamana yule mzungu akawahi kumwambia haya kazi hiyo fungua ,basi jamaa wacha arapu akadai kuwa umeniona mweusi na kunifananisha kuwa ni kibaka na kuniona kuwa nina uzoefu wa kuiba ,yule jamaa mwenyewe huyo mweusi ni yule aliemo kwenye BIG MAMA.
 
Mwiba jamaa ni Martin Laurence movie ni Blue Streak.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…