Kibaha: Wananchi walishambulia basi la Sauli baada ya kusababisha ajali na kuua abiria wa bodaboda

Jamani fuateni sheria na kichwani mwako ujiongeze pia, fair ipo hata barabarani. Ona sasa ulikuwa na sheria lakin umekufa ndio inakusaidia nini? Hawa madereva wa mabasi tangu hapo wanajulikan ni wakorofi pia kujiona wao ndio madereva Original kisa wamefikia daraja la kuendesha bus... so tuwaachage wapite tusilete ligi nao.
DEREVA APIMWE NA AKILI SIO MACHO PEKEE.
 
Umesha wahi kuona haya mabasi yanavyoendeshwa?

Nimeshapanda haswa sio kuyaona, sheria inasema dereva akigonga traffic afanye uchunguzi sasa mwananchi unachukuwa hatua ya kushambulia kama nani?.



Lunatic
 
Ukitaka kujua ushenzi wa madereva wa mabasi endesha pkpk ktk High way usipojihami kwa kuendeshea nje ya chaki wanakudedisha dakika sifuri
Madereva wa mabasi ya mkoa wanapofika kibaha wanaanza kukutana na jamu, na huo muda wanakuwa wana wenge la kuwahi kufika ili wakapumzike, kwa hiyo wakati mwingine wana overtake humo humo kwenye jamu na kuingia kwenye site ya magari yanayotoka mbele na wakati mwingine kutanua na kuwatoa boda nje ya barabara.......sasa boda asipokuwa makini ndo hii anajikuta anagongwa. Na pia hawana uvumilivu wa kupunguza mwendo sehemu yenye barabara finyu ambapo wanapishana na magari mengine na pengine bodaboda naye yupo pembeni, wanaishia kumsukumizia nje ya barabara..​
 
Bora Ugonge na kuuua bodaboda mmoja kuliko Ujinga wa kukwepa Boda boda Mlevi halafu Uue watu 22 wasio na hatia. HONGERA SANA DEREVA WA SAULI, jinga sana dereva wa Lori uliyekwepa Bodaboda ukagonga basi na kuuua abiria 22
 
Back
Top Bottom