Kibaha: Wananchi walishambulia basi la Sauli baada ya kusababisha ajali na kuua abiria wa bodaboda

mr chopa

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
5,305
13,640
Jeshi la Polisi linawashikilia Watu wanane kwa tuhuma za kulishambulia na kulivunja vioo kwa kutumia mawe Bus la Sauli lililosababisha ajali iliyoua abiria mmoja wa Bodaboda Kibaha jana, mawe hayo yalimjeruhi pia Askari.

RPC wa Pwani, Wankyo Nyigesa amekemea vikali tabia ya Wananchi wachache kujichukulia sheria mkononi kwa kisingizio cha hasira kali kama ilivyotokea katika tukio hilo.

"Jeshi la Polisi mkoa wa Pwani halitavumilia mihemko ya Watu wachache wasiopenda kutii sheria, tunakusudia kufanya operesheni kali ili kuwakamata wote waliohusika kuharibu na kurusha mawe ambayo pia yalimjeruhi askari Polisi wa Usalama Barabarani aliyekuwa eneo hilo akifanya kazi za kuongoza magari"

"Askari huyo F.3490 SGT Okoka Mbafu amelazwa Hospitali ya Tumbi baada ya kushambuliwa kwa mawe alipofika eneo la tukio kwa ajili ya kuchukua hatua"——— RPC Nyigesa
 
Rise and Fall

"Sometimes in your life you feel the fight is over...is over!!

It seem as though the writings on the wall..

Superstar you finally make it ,when the picture became tainted

Is what they call..riiise and faaaaaalll!!"

Here comes the downward curve of sauli
 
Mabasi yanaendeshwa vibaya sana. Ila kupiga mawe basi na kuumiza watu ambao wala hawahusiki ni kosa kubwa kama kosa la dereva kusababisha mauti na kujeruhi watu wasio na hatia
 
Rise and Fall

"Sometimes in your life you feel the fight is over...is over!!

It seem as though the writings on the wall..

Superstar you finally make it ,when the picture became tainted

Is what they call..riiise and faaaaaalll!!"

Here comes the downward curve of sauli
Huyo jamaa simjui but nimepanda hizo bus zake, kiukweli ni mpambanaji hasa, na pamoja na baadhi ya watu (washindani wake na chawa wao) ukiwemo wewe mleta uzi kumuombea mabaya huyu mwamba ataibuka tuu maana ameshaujua mchezo huu na hii biashara.
 
Jeshi la Polisi linawashikilia Watu wanane kwa tuhuma za kulishambulia na kulivunja vioo kwa kutumia mawe Bus la Sauli lililosababisha ajali iliyoua abiria mmoja wa Bodaboda Kibaha jana, mawe hayo yalimjeruhi pia Askari.

RPC wa Pwani, Wankyo Nyigesa amekemea vikali tabia ya Wananchi wachache kujichukulia sheria mkononi kwa kisingizio cha hasira kali kama ilivyotokea katika tukio hilo.

"Jeshi la Polisi mkoa wa Pwani halitavumilia mihemko ya Watu wachache wasiopenda kutii sheria, tunakusudia kufanya operesheni kali ili kuwakamata wote waliohusika kuharibu na kurusha mawe ambayo pia yalimjeruhi askari Polisi wa Usalama Barabarani aliyekuwa eneo hilo akifanya kazi za kuongoza magari"

"Askari huyo F.3490 SGT Okoka Mbafu amelazwa Hospitali ya Tumbi baada ya kushambuliwa kwa mawe alipofika eneo la tukio kwa ajili ya kuchukua hatua"——— RPC Nyigesa
Pole zake PC Okoka Mbafu!
 
Rise and Fall

"Sometimes in your life you feel the fight is over...is over!!

It seem as though the writings on the wall..

Superstar you finally make it ,when the picture became tainted

Is what they call..riiise and faaaaaalll!!"

Here comes the downward curve of sauli
sijawahi ona kampuni ya mabasi inaombewa mabaya kama hii sauli

week1 tu toka ilipo anza kufanya safari zake basi mpya marcopolo G7 ili rushiwa mawe na watu wasio julikana na kupelekea kioo kupasuka

hii ajali ime tokea hapo kibaha lakini kundi la watu lime shambulia basi kwa mawe na kuweza kufanya uharibifu mkubwa tu

swali ni je Sauli ndio basi lenye mwendomkali kuliko basi zote ?
kwann matukio ya kushambuliwa kwa mawe yana pelekwa kweny kampuni hii tu?
Screenshot_20211117-165640_Instagram.jpg
 
Rise and Fall

"Sometimes in your life you feel the fight is over...is over!!

It seem as though the writings on the wall..

Superstar you finally make it ,when the picture became tainted

Is what they call..riiise and faaaaaalll!!"

Here comes the downward curve of sauli
Jamaa wanamkamia knoma
 
Hakuna watu wajinga kama hawa kwani ajali dereva kaitaka? Kwanini mumshambulie kwa mawe na polisi wapo?, watanzania tuna matatizo ya akili.

Lunatic
 
Tatizo kumpiga askar na jiwe maana hana hatia, ila hilo basi hawajalitendea haki.
 
Ukitaka kujua ushenzi wa madereva wa mabasi endesha pkpk ktk High way usipojihami kwa kuendeshea nje ya chaki wanakudedisha dakika sifuri
 
Back
Top Bottom