Kibadeni sawa Kuja Simba lakini Julio NO

Kibadeni sawa Kuja Simba lakini Julio NO

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
Kibadeni anakuwa kocha wa Simba mimi sina kinyongo lakini Kama viongozi wa simba wangekuwa wasikivu wangemuondoa Julio maana hata wachezaji hawamkubali lakini kwa saabu ya mdomo wake na nafasi anayopewa wanakuwa hawana jinsi....... fanyeni utafiti
 
Ni kweli Mkuu umesema! Julio hana jipya na ni mtu mwenye majungu na fitna pia ni mgomvi sana anapigana hata na washabiki. Ni mtu wa kuongea sana bila utaratibu na kila akiongea ni lazima aitaje Yanga kana kwamba Yanga ndo mpira duniani hapa! Viongozi wa Simba msipomwondoa Julio pale mtajuta tena mwaka huu! Timu yetu lazima itaendelea kufungwa tu kama Julio yupo mtoeni huyo fitna!!!!
 
Hii Simba naweza ifananisha na klabu ya Chelsea ya England. Mie nimefadhaika mno kwa mzee huyo kukubali kuja kudhalilika hapo wakati mlopokaji bado yupo.
 
Back
Top Bottom