ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,807
- 60,664
Siyo kweli, kunuka ni uchafu wa muhusika pamoja na hizi soksi zinazo babua miguu sikuhizi watu wengi hatuvai soksi kwavile mnatuuzia soksi ambazo ni mbaya mnakera sanaBasi tu fashion ya baadhi ya viatu inakufanya usivae soksi ila ukweli usemwe viatu bila soksi Sawa na suruali bila chupi.. Ukivivua lazima tu viteme na pia sio salama unaweza Kupata fangasi miguuni.wengi naona hata siku hizi wanaovaa sendo wanaovaa na soksi.
Brutal๐๐๐๐Kiatu pea moja kila kukicha kipo mguuni hata uvae soksi kitanuka tu.
Wanafanana forex mentorsKuna hawa vijana .com naona wanavaa siti na visuruali flani vimewabana, alafu vifupi...... always wanavaa na tuviatu flani tunakua kama kike alafu hawavai na sox mku....๐
Forex mentors wa kibongoWanafanana forex mentors