humu JF kuna harufu ya ubaguzi, watu wengine wakiweka mada zao hata kama zina matusi hazikashifiwi, wengine wakiweka, hata kama zina matusi ya kawaida tu zitapondwa kama nini, sasa hii mada ina matusi gani ya kutisha jamani, na isitoshe ipo kwenye jokes, hebu tuwe waungwana.