Kiatu changu vipi jamani kizuri?

waoh kipo powa, kama vipi tuongee biashara nimnunulie my young brother.
 
waoh kipo powa, kama vipi tuongee biashara nimnunulie my young brother.
Tatizo huku viatu vipo lakini bei yake ghali havishikiki bei huku inaanzia dola 150 na kuendelea inategemea uzuri wa kiatu chenyewe jinsi kilivyo Sister.
 
hivi viatu vimerudi tena sokoni! nakumbuka in 1990s nilinunuliwa reebok kali sana ezi hizo na bro toka US of the same design, no new designs anymore! vichwa vya kudesign vimekufa aiseeee
 
Tatizo huku viatu vipo lakini bei yake ghali havishikiki bei huku inaanzia dola 150 na kuendelea inategemea uzuri wa kiatu chenyewe jinsi kilivyo Sister.
ila najua vitu vya wanaume ni gharama sana especial viatu nshauliziaga tena mtumba mtu anakwambia 70,000 na vingine mpaka 150,000 ila to me doesn't matter as long as nina hela na viatu nimevipenda nanunua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…