Kiasi gani cha maji kinaweza kuzima jua?

Kiasi gani cha maji kinaweza kuzima jua?

Yaani Umekaa chini umefikiria weee, ukaona cha maana ni kuzima jua.
 
Hahaaa.... sasa assume tumefanikiwa kulizima, hv unajua nini kitafuata?
 
Inakisiwa kuwa Energy karibia 98% ya Sayari yetu dunia Inaletwa na Jua unatembea, unagegeda, Mvua inanyesha yote hii huletwa na Jua
 
Back
Top Bottom