Kiapo kinaniumbua

Ni ujinga kuwa na mapenzi ya kuoneana huruma.
Unajua hapa sipati amani na furaha yangu unaendelea kuwepo kwa kumuonea huruma tu.
Kwenye watoto wa kambo wanaolelewa na baba asiyekuwa wao wakamthamini Ni 5%.
Kwa Nini uishi kwa kuteseka kisa watoto ambao watakuja kumtafuta baba yao?
Au hata baba yao bado yupo na anaendelea kumtafuna huyo mkeo.?

Ni kwa sababu tu tunabahatisha.
Lakini ukijua kuwa huzai tafuta maisha mengine uishi.
Usikimbilie kuoa aafu ukaishia kusimangwa na kuteseka

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bro; Nadhani wewe ni mtoto saana na wewe unatamani kufundishwa mambo haya lakini unaogopa kuomba ufundishwe. Jiulize, Je wewe ulizaliwa na mwanamke au?? Na baada ya kuzaliwa au kabla hujazaliwa, hakukutokea tena mtoto mwingine?? Je huyo babako naye angemuona kinyaa mamako wewe ungeenda wapi au ungepatikanaje?
Ningeomba ubadili lugha yako na kujieleza namna nyingine kwani papuchi sio linyama fulani kuwa likifunguka halirudi hubaki hivyo hivyo. Ingelikuwa hivyo nadhani wamama zetu wangelikuwa wanavaa ndoo kuzuia mikojo. Wewe nadiriki kusema; Ni mpuuzi ka wapuuzi flan hivi waliojaliwa kuona siku ya leo.
Huyo Nancy wako kama aliwahi kusoma thread hii hata akikusalimu kesho naye ni chizi
 
noma sana!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe tena.. basi naangalia opportunity ya kumtema japo bidada wa watu mtamu sana jamani..!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni ushauri tu, usipende kujihusisha na mahusiano ambayo ikitokea cha kutokea unajikuta umezama akili zikirudi unaanza kujuta.

Jaribu kuwa kwenye mahusiano ambayo hata ikitokea issue za mimba inakuwa ni kwa mtu ambaye huna tatizo kuishi naye.
 
Ni ushauri tu, usipende kujihusisha na mahusiano ambayo ikitokea cha kutokea unajikuta umezama akili zikirudi unaanza kujuta.

Jaribu kuwa kwenye mahusiano ambayo hata ikitokea issue za mimba inakuwa ni kwa mtu ambaye huna tatizo kuishi naye.
[emoji109][emoji109]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wewe ungekuwa umezaa yeye bado mbichi ndo ungeona sawa..!? Kuweni na huruma kwa dada zetu jamani. Kwani hao malaika wanamakosa gani....!!?

We oa bhaana, kwanza videm vya siku hizi vinamapenzi ya mwendo kasi kichizi. Havijui nini vinataka. Chukua huyo anayejua nini maana ya maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji860][emoji860]naona umekuja na speed ya kimondo[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…