[emoji3][emoji3][emoji3]platnumz nnHapana iyo haina nje ndani, hapo ubao unasoma tu mbili bila sasa hapo huyo mwamba anatakiwa afanye ile kitu inaitwa 'win from behind'
Ni kazi sana huo mkeka kutoa hapo live odds zishakuwa nyingi hakuna anaezitamani labda Diamond
Hata haliegundua hela nae bado alikufa kwa madem, haimaniishi niishi kama kisiki pasipo kuwa na mitazamo yangu ninayoiamini kila mtu ana misimo yake japo ya mungu ni mengiMungu akuhurumie tu bro. Siku moja utatambua haya uyaandikayo hapa ni utoto/ujana tu unakusumbua.
Ukijua maana ya maisha utaona kuwa single mother au single father ni kitu cha Heri tu duniani.
Nakushauri sana chunga maneno ya kusema au nadhiri za kuweka maishani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa[emoji120]Mkuu kama kwenye avatar yako umependa na umefanikiwa kuweka picha ya mtoto wa mzungu usiyemjua hata unashindwaje kuwapenda watoto wa mpenzi wako?
Anyway, Shukuru hata unapendwa kiasi kwamba mdada kasema ua iwe akakutambulisha wanawe kwani wengi wamefichwa wakajua miaka mitano ama zaidi baada ya ndoa.
Wabichi unaowanadi ni kweli wanapendeza machoni ila kumbuka watakuzalia watoto wa wanaume wengine ndani ya ndoa na utalea mpaka unakufa hujui si wa kwako na hii ndiyo dharau kubwa kuliko zote.
Ushauri wangu ni umepata anayekupenda na unajua hilo hivyo tulia. Najua kuna kasumba ya single mothers Tanzania na Africa kama si dunia nzima ila nina mifano mizuri ambayo ingekupa imani nao.
Wewe angalia, kuwa naye karibu ujue kuwa hana yale zaidi ambayo hayarekebishiki mjadiliane. Ukiamua kumuoa mpende na watoto wake ukiamua la muache kwa heshima na mbaki na siri zenu msianikane atapata wa kumpenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa[emoji120][emoji120]Handcap ya 0:2 huwa zina faida zake mkuu
Sent from my SM-A720F using Tapatalk
sawa mkuru ngoja nichakate cha ili nijue cha kufanya!![emoji120][emoji120]Huyo mwenye watoto wa kike angenifaa, nikiongeza na wangu tunatimiza watoto watatu safi.
Maana watoto wakike ukiwalea vizuri wanakuwa wanajua huyu ndo mdingi, ila ukikuta ana wa kiume, wakifikisha 12-16 wanaanza kukuvimbia.
sawa mkuru ngoja nichakate cha ili nijue cha kufanya!![emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
daaah tatizo umri kaka, me bado mdogo kuishi kama baba!!Hizo ni baraka mkuu, cha muhimu ni kuangalia uwezo wako wa kuwalea bila kubagua, na pia muhimu ni kujua baba yuko wapi, kama yuko around huo mzigo utakusumbua. Jiridhishe sana.
Sisi tunapanga halafu Mungu anawezesha kwa anavyoona ni sahihi na si lazima iwe tulivyopanga.
nitakuwa nae ila si kwa ajiri ya ndoa..Kama hivyo fata ushauri wa Bonny, kakwambia hiyo project ipasishe kwa wana JF. Siyo size yako.
Ameshajua uchungu wa mwana
Wadogo huficha "nyeti" zao mbali na uroda.
Ahaa mim naona ananletea mapicha picha... Mie sijambo mambo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akili zako unazijua mwenyewe shikamoo kaka Bonny
Sasa kama wewe hutak amaanishie kwako sio mbaya ukambariki mtu humu bdan akamaanisha nayenoma sana!! tatizo si mwana JF, tatizo ni kuwa dada wa watu naona anataka kumaanisha kabisa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Shikamoo yangu imekukosea nn eti [emoji134]Ahaa mim naona ananletea mapicha picha... Mie sijambo mambo?
Ahaaa hyo baki nayo kwanza...Shikamoo yangu imekukosea nn eti [emoji134]