Wahenga walisema usitukane mamba kabla hujavuka mto
Nimemkumbusha kwani mtu kuwa single mother ndio nn hatakiwi kupendwa au
wahenga walisema "bandu bandu humaliza gogo" nahisi wameshambandua bandua hata hakunamo kitu, walio wahi kumzalisha hao ndio walikuta madini bado yamo..Wahenga walisema usitukane mamba kabla hujavuka mto
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akili zako unazijua mwenyewe shikamoo kaka Bonny
[emoji860][emoji860]kwa kifupi huwa wanaokoa jahazi la CHAPUTA[emoji85][emoji85]?!!
Tatizo lake ni umri, akishakua atajitambua.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] what if kama wewe umeshazalisha pia?
Kijana bado inaonesha una mawazo kama yangu nilivyokuwa na miaka 20 nikuhakikishie tu maisha siku moja yatakuelekeza vizuri kutambua mapenzi ni zaidi ya kusimama kwa chuchu ama uke kutanuka. Utaangalia nyuma na kutambua how useless your thoughts were.wahenga walisema "bandu bandu humaliza gogo" nahisi wameshambandua bandua hata hakunamo kitu, walio wahi kumzalisha hao ndio walikuta madini bado yamo..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji860][emoji860][emoji860]kumbuka pia.. Kuna member humu huwa anadai kuoa single mother ni sawa na kununua kiwanja chenye migogoro, embu tafakari kuna siku atawapeleka watoto wake wakamuone/wakawaone baba zao(sijajua kama watoto wote ni wa baba mmoja) hv watashindwa kugegedana kww kigezo cha kukumbushiana...?!![emoji85][emoji85][emoji85]Kuwa single mother sio kuwa mwanamke ametumika sana wapo wanapewa mimba na haguswi mpaka anajifungua na mtoto anakuwa mkubwa bado kajitunza.
Hao unasema wasichana wabichi ndio wengi wametumika na utakuta wametoa mimba zaidi ya tatu kwahyo nawao ni 'single mother without a child'
Ni bora hao walioamua kuzaa kuliko kutoa
AKILI KUMKICHWA
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo ni taswira yangu ubongoni nikilinganisha ukubwa wa mtoto na papuchi ilivyo, kwa kigezo kuwa ntapwaya(ila uhalisia wa wanawake wa sasa break ni korodan kiukweli)[emoji3][emoji3][emoji3]Taswira yako inaonyesha mandhari ya papuchi uwa inaharibika/kutanuka baada ya kujifungua..Ndo ulimkuta hivyo??..Vipi ukaweza kumgegeda?
[emoji860][emoji860]ee kaka, ndiye haswaa[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji860][emoji860][emoji860]afadhari kamoja, kweli wawili wote daaah[emoji13][emoji13][emoji13]Mkuu sio kila single mother alipenda kuwa hivyo wengine walidangnywa, wengine walishindwa kuwa ndani ya mahusiano na mtu aliyewazalisha
Mwanao anakwambia ajeee mshua[emoji125][emoji125][emoji125]Usinizeeshe bana..Mwanangu mwenyewe haniamkii
maisha hayo ndio sitaki yajirudie maana naujua moto wake si wa mchezo mchezoWanaume wa sasa hawawataki masingo mama ilhali wao walilelewa kisingo mama
Sent using Jamii Forums mobile app
bado ana muonekano wa ki- sister duuhUlishindwa kumtambua kama ni mama
Td mkali