Kiapo kinaniumbua

usemalo ni kweli lkn tatizo linakuja kuwa, haya mapenzi ya kuoneana huruma majanga yake ni makubwa na siku hizi hayapo, ni kheri niishi na kilema ambaye najua alifanya kitu kwa bahati mbaya kuliko kuishi na single mother ambaye aliyataka mwenyewe.. "Mwandaa majanga atakula na wa kwao"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa single mother sio kuwa mwanamke ametumika sana wapo wanapewa mimba na haguswi mpaka anajifungua na mtoto anakuwa mkubwa bado kajitunza.
Hao unasema wasichana wabichi ndio wengi wametumika na utakuta wametoa mimba zaidi ya tatu kwahyo nawao ni 'single mother without a child'
Ni bora hao walioamua kuzaa kuliko kutoa
AKILI KUMKICHWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sio kila single mother alipenda kuwa hivyo wengine walidangnywa, wengine walishindwa kuwa ndani ya mahusiano na mtu aliyewazalisha
 
Vp kipindi unamgegeda ujakutana na hayo mapunguvu mkuu?

Najua hukugundua chochote we endelea kupiga Mashine na wewe umzalishe kama alivyofanya mwenzako!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji117]mapunguf hana, japo chuchu zimelala ila znetuna(kubwa kama za kimambi) hivyo kugungua iliniwia vigum, kingine mabint wa siku hiz hata ambae hajazaa unaweza mkuta ana chuchu zimelala..

[emoji117]Mm siwezi kuchanganya ukoo wangu na wa wanaume wengine maana hii huleta tabia ya watoto kubaguana kwa kujiita ww ni flan na mm ni wa flan, nahitaj nkimzalisha mwanamke mmoja huyo huyo nkomae nae mwanzo mwisho.. Ikitokea bahati mbaya kwa mke kuzalishwa wavimba macho hapo haina namna kulko hii ya kujitakia kabisa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa ugenini alifungwa 2 sasa inabidi ashinde 3 nyumbani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana iyo haina nje ndani, hapo ubao unasoma tu mbili bila sasa hapo huyo mwamba anatakiwa afanye ile kitu inaitwa 'win from behind'
Ni kazi sana huo mkeka kutoa hapo live odds zishakuwa nyingi hakuna anaezitamani labda Diamond
 
Mkuu kama kwenye avatar yako umependa na umefanikiwa kuweka picha ya mtoto wa mzungu usiyemjua hata unashindwaje kuwapenda watoto wa mpenzi wako?

Anyway, Shukuru hata unapendwa kiasi kwamba mdada kasema ua iwe akakutambulisha wanawe kwani wengi wamefichwa wakajua miaka mitano ama zaidi baada ya ndoa.

Wabichi unaowanadi ni kweli wanapendeza machoni ila kumbuka watakuzalia watoto wa wanaume wengine ndani ya ndoa na utalea mpaka unakufa hujui si wa kwako na hii ndiyo dharau kubwa kuliko zote.

Ushauri wangu ni umepata anayekupenda na unajua hilo hivyo tulia. Najua kuna kasumba ya single mothers Tanzania na Africa kama si dunia nzima ila nina mifano mizuri ambayo ingekupa imani nao.

Wewe angalia, kuwa naye karibu ujue kuwa hana yale zaidi ambayo hayarekebishiki mjadiliane. Ukiamua kumuoa mpende na watoto wake ukiamua la muache kwa heshima na mbaki na siri zenu msianikane atapata wa kumpenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…