Kiapo cha daraja la umason

Kinachotia wasiwasi ni hizi ibada zao kama wengi wasemavyo kuwa zinaambatana na kafara za umwagaji damu wa binadamu!..hili kama ni kweli basi hata mazuri yanayoonekana kufanywa nao hayafai sana kusifiwa...
Hata katika hizi imani zetu zinazomtaja Mungu zina mengi mabaya na ya kutisha sana
 
Hii ilikuja baadae sana lakini ni sect tu ndani ya jumuiya kubwa ya free
 
conspiracy stories.nyingi huwa hazina uhalisia,lakin napenda tu kuzisikia!!!!
 
Mshana. Nauliza makao makuu ya freemason yapo nchi gan
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…