Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,640
- 729,672
Habari za freemason si ngeni masikioni mwetu na tumeziandika kuzisoma na kuzisikia kwa mapana yake.
Lakini kiuhalisia ni kidogo sana tunachokijua kuhusu hii imani kwakuwa inazungukwa na usiri mkubwa .
Freemason kama zilivyo imani nyingine ina sect nyingi ndani yake lakini bado misingi ikiwa ni ile ile
Freemason inajikita kwenye luciferism (katikati ya Mungu na shetani) wengi naamini mnaikumbuka hii mada.
Kwahiyo kimsingi mmason anabalance huku na huku ili aweze kuwapata wote na kwa umoja au utengano wao kwa ushirika wao au kwa hitilafu zao mason husimama kati yao
kupoteza yote na kupata mengine mapya katika upya wa freemason ndio nguzo na daraja kuu la mason .
Kama ilivyo kwa mkristo kuacha yote ya kishetani na kumfuata Kristo ndivyo hivyo ilivyo kwa mason kuacha yote ya Kristo na ya shetani na kufuata njia mpya ya Masons .
Kama kweli unataka kuingia kwenye umason fikiria tena kiapo hiki kwa undani wake na siri kuu iliyopo juu yake