Kiapo cha damu

Kiapo cha damu

M nshawah skia hii bt s kwel haina nguvu yoyote n ktk kutiana hamasa zAid ktk mapenz il kuleta uamnfu na upendo wa dhat.hvo mtu hujkuta huogopa na kubak ktkt penz.bt kiukwel n dhana tu isyo na ukwel wowote.
 
Ndoa ni mapatano matakatifu kati ya wanadamu na Mungu katika kuendleza uumbaji. Je hcho kiapo Mungu anakitambua? Km haitosh hata qualities za good fience hana.
 
haha ati damu itakulilia, upumbavu gani huo, damu ikalia toka lini tamu ikatoa chozi.... kiapo cha damu ni ujinga tu uliopo kwenye movie za kinigeria hakuna zaidi ya hapo... sanasana walibadilishana virusi tu
watanzania sijui lini watatoka kwenye huu ushirikina wa kijinga... mtu akadanganywa na shori wake ati nina mimba yako tumboni miezi kumi na mbili sasa nimeishikilia kwa madawa haitoki hadi unipe jibu kama tunafunga ndoa au la ati akafall for it... hahaha!
 
Back
Top Bottom