Kiapo cha damu kwenye mapenzi!

Huyo binti angeendelea na msimamo wake, jamaa angebaki na maumivu yake. Ina maana binti hana mtu wa uhakika
 
Hahaha wwe noma. Mkuu!
 
Hicho kiapo babkubwa aiseee.

Ila siku zote naamini kupenda ni kitu kingine bana sababu kuna baadhi mambo huwa yanafanyika hadi unakaa na kujiuliza mara mbili mbili na usipate jibu ya kilichotokea.
Kupenda. ni upofu wa macho na akili. Mkuu,ndio. Maaana wengine. Hufikia. Hatua ya kujiua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…