Kiama Wahindi wainunua GPSA

Kiama Wahindi wainunua GPSA

Watu

Platinum Member
Joined
May 12, 2008
Posts
3,231
Reaction score
1,472
Government Procurement & Supplies Agency

Wametoa mikataba ya kufanya bisahara na serikali kwa makampuni Haya tu kwa mwaka wa fedha 2013/14

MFI
Despec
Ms microfast
Supplies Store Ltd (ya mtoto wa Dr meru wa EPZA)


Baada ya kampuni za wazawa kushindwa kigezo cha kutokua na mzunguko wa wa billion kumi kilichowekewa na Gpsa mwaka Huu wa fedha

Haya w

Katika mpango ambao unasemekana umesukwa kati ya mkurugenzi wa EPZA kamna akishirikiana na kampuni ya Despec ambao ni wawekezaji kazitka eneo la epza na sasa umetimia Baada ya malengo yao ya kuyatupa nje ya biashara makampuni mengi ya wazawa yanayofanya biashara ya vifaa vya IT.
 
sjaelewa hata kimoja mkuu umepost as if tulikuwa tunadiscus kipind cha nyuma hizo ishu. hayo makampun hata siyajui hebu fafanua kirefu
 
mkuu wewe ukifuatilia unaweza kuishia kutukana tu..
 
Back
Top Bottom