Kiama kwa wezi wa Fedha za umma kinakuja, Rais Samia hataki kulemba

ccm ni nzuri akipatikana rais kama jpm utaona raha sana. fikiri jpm angemaliza miaka 10 mambo mengi mazuri tungeyapata. hakuna chama kingine kinaweza kutawala tanzania kuliko ccm. hao wengine ni vyama vya mitandaoni na matusi kama yote ukiwapa mkoa tu kuutawala mkoa mzima wanakufa na njaa na hakuna huduma watakayopata sembuse uwape watawale tanzania nzima
Huyo ndiyo sitaki hata kumsikia, roho mbaya aloyokuwa nayo ilitosha kuonesha hakufaa kuwa hata balozi.
 
Mtu yeyote anaeweza vita ya ubadhirufu serikalini anastahili kuwekewa kinga ya kuongoza kwa muda mrefu, ikibidi lifetime..

Mama Samia is just talk, she hasn’t the guts for the battle.

Yaani amiri jeshi mkuu, mwenyekiti wa CCM na raisi wa nchi; kwa katiba yetu angeweza fanya mabadiliko yoyote ya msingi anayotaka bila ya kubembelezana na mtu kama angekuwa mwenye vision bila ya kutegemea kuelekezwa na wastaafu.

Hiyo vita ya ubadhirifu kwa viongozi wa serikali mpaka sasa mama keshaonyesha sio size yake.
 
Wezi wangapi wamefikishwa mahakamani ndani ya mwaka mmja wa mama?

Tutajie aliyeweza hiyo vita unaemfahamu wewe pia thibitisha kauli yako ya kusema sio size yake na utuonueshe upigaji ulipofanyika.
 
Huyo ndiyo sitaki hata kumsikia, roho mbaya aloyokuwa nayo ilitosha kuonesha hakufaa kuwa hata balozi.
Hiyo roho mbaya ndiyo uadilifu wenyewe, maana hao ambao wanaona alikuwa na roho mbaya wao hawazioni zao ambazo kwakufanya ufisadi kupitia kinga za kisheria waliua raia wangapi kwa utapia mlo, mntindio wa ubongo, kukosa pesa za dawa ya lamaria, minyoo, kuharisha na mbaya zaidi kukoseshwa hata haki ya elimu ya msingi
 
Hakuna kitu kama hicho, Sheria za Sasa zipo wazi mtu akifanya ubadhirifu adhabu yake ipoje. Nyie mnawaza kushushana vyeo na mshahara.
 
Wiki ijayo mama anapokea report ya CAG.
Wakuu wa wilaya na wakurugenzi wao kaeni chonjo

Wakuu wa taasisi na mashirika ya umma kiama kinakuja.

Kumbukeni annual phyisical perfomance inaendana na financial perfomance na wote probation periodziliisha february 2022.

Wakati anapokea report iliyopita alimwagiza CAG asiwe na kigugumizi kusema aliyoona.
 
Hiyo roho mbaya ndiyo uadilifu wenyewe, maana hao ambao wanaona alikuwa na roho mbaya wao hawazioni zao ambazo kwakufanya ufisadi kupitia kinga za kisheria waliua raia wangapi kwa utapia mlo, mntindio wa ubongo, kukosa pesa za dawa ya lamaria, minyoo, kuharisha na mbaya zaidi kukoseshwa hata haki ya elimu ya msingi
Mungu alituepusha na kikombe Cha uovu. Rip Ben sa8, Aqwilina na mama Kabendera.
 
Mwizi namba moja ni Samia anaehamasisha ufisadi kwenye Serikali yake.
 
Back
Top Bottom