Kiama cha Wafanyakazi waliosafiri Nje ya Nchi chaja

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,742
Adhabu inawanyemelea watumishi wa serikali waliokaidi agizo la kutosafiri nje ya nchi bila kibali cha Rais John Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.

Habari zilizopatikana kutoka baadhi ya wizara zilieleza jana kuwa tayari baadhi ya Makatibu Wakuu wa Wizara wameshapewa orodha ya majina ya watumishi waliosafiri nje ya nchi kinyemela.

Chanzo kimoja cha habari kimesema kuwa tayari majina hayo yamepatikana na kinachofanyika sasa ni kupitia taratibu, sheria na kanuni kabla ya kuwachukulia hatua.

Watumishi wanne wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wamesimamishwa kazi kwa kwenda nje ya nchi licha ya maombi yao ya kusafiri kukataliwa na mamlaka.

Jana Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto, Dk. Donald Mmbando alikiri kukabidhiwa taarifa kuhusu watumishi waliosafiri nje ya nchi bila kibali cha Ikulu na kwamba kwa sasa kuna taratibu ambazo zinafanyiwa kazi na ngazi husika kwa ajili ya kuchukua hatua zaidi.

“Ni kweli niliagiza nipatiwe taarifa ya watumishi hao na nimeshapewa ila kuna tataribu ambazo zinafanyiwa kazi na zitakapokamilika itatolewa taarifa ya wale wote waliosafiri na wamefanywa nini,” alisema Dk. Mmbando.

“Kwa sasa siwezi kulizungumzia ila likikamilika tutawajulisha.” Hivi karibuni Dk. Mmbando alitoa taarifa kwa wakuu wa Idara wizarani kwake akiwataka ifikapo Desemba 21 awe amepata taarifa ya wale wote waliokiuka agizo la Rais la kutosafiri nje ya nchi.

Dk. Mmbando aliandika dokezo kwenda kwa wakuu wa idara hiyo ambayo iliwataka kuwataja watumishi walio chini yao ambao walisafiri nje ya nchi baada ya katazo la Rais Dk. Magufuli.

Katika dokezo hilo walitakiwa kueleza watumishi hao wamesafiri kuelekea nchi gani, tarehe ya safari, madhumuni ya safari hizo, safari hizo zimegharamiwa na nani pamoja na kiasi cha fedha kilichotumika.

Waliosimamishwa kazi Takukuru ni Msemaji Doreen Kapwani, Mary Mosha, Ekwabi Mujungu na Rukia Nikitas.

Awali, Ofisi ya Rais ilisambaza mwongozo kwa taasisi na mashirika ya umma unaoweka masharti ya ambayo watumishi wa umma wanaotaka kusafiri nje ya nchi watatakiwa kuyatimiza ili wapewe kibali cha kusafiri.

Masharti hayo ni kuomba kibali kwa Katibu Mkuu Kiongozi Sefue na maombi hayo yawasilishwe kwa Msajili wa Hazina kabla ya kwenda kwa Sefue ili mwombaji aweze kujenga hoja kwa kuzingatia umuhimu wa safari hiyo na tija itakayopatikana kutokana na safari hiyo.

Masharti hayo yanamtaka Mtendaji Mkuu wa Shirika ama taasisi apime aone kama safari hiyo ni muhimu kuombewa kibali kwa Katibu Mkuu Kiongozi kabla ya kuwasilishwa Hazina.

Sharti lingine ni umuhimu wa safari hiyo na isipofanyika itaathiri vipi taifa na mwombaji aeleze manufaa ya safari hiyo kwa taasisi na taifa kama imewahi kufanyika huko nyuma.

Ofisi za Umma zilipokea barua kutoka kwa Msajili wa Hazina Novemba 12 mwaka huu ikieleza kuwa Rais Magufuli ametoa zuio la jumla kwa safari za nje ya nchi katika utumishi wote wa umma na mihimili yake. Barua hiyo ya Hazina ilisema zuio hilo litadumu hadi pale itakavyoelekezwa vinginevyo.

Mpekuzi blog
 
Huku ndo kuisoma namba Kulikotukuka, ila kiasi fulani bwana Mkubwa naona spidi yake tangu kikao cha CCM na kuchagua baraza imepungua.
 
Nauliza tu. Je wanafunzi wa vyuo vya umma kama MUHAS na wao hawaruhusiwi kusafiri nje bila vibali?
 
kuna mambo mengi sana ya kufanya kwenye hii nchi,zaidi ya kuviziana kwamba nani kasafiri nani hajasafiri, nilitegemea kusikia swala la pembe jeo za kilimo,mabwana shamba wakipewa maelekezo ili kusaidia secta ya kilimo kwakua ndio sector inayoajiri zaidi, lakini sijasikia,dawa feki zimejaa maduka ya kariakoo hakuna tamko lolote,mbegu feki zimejaa maduka ya pembe jeo lakini sijasikia lolote,zaidi ni kuviziana nani kachelewa nani kawahi,nani kasafiri nani hajasafiri.

ku
 
Labda wangeweka utaratibu kupitia mtandao kwa wote walioruhusiwa kusafiri majina yao yawe airport kutoka Ikulu.

Hiyo itasaidia kama jina lako halipo kwenye list unabeba mabegi na kurudi.
 
''Ukienda nje, umeambiwa usiende nje ukakaidi utasimamishwa kazi tu, na mimi nasema waasimamishwe kazi tu, maana hakuna namna nyingine"
 
kuna mambo mengi sana ya kufanya kwenye hii nchi,zaidi ya kuviziana kwamba nani kasafiri nani hajasafiri, nilitegemea kusikia swala la pembe jeo za kilimo,mabwana shamba wakipewa maelekezo ili kusaidia secta ya kilimo kwakua ndio sector inayoajiri zaidi, lakini sijasikia,dawa feki zimejaa maduka ya kariakoo hakuna tamko lolote,mbegu feki zimejaa maduka ya pembe jeo lakini sijasikia lolote,zaidi ni kuviziana nani kachelewa nani kawahi,nani kasafiri nani hajasafiri.

ku
Sio lazima usikie kila kitu, sio vyote vinakuwa published. Hata hivyo, coupons za kupata pembejeo kwa ruzuku zimetolewa kwa baadhi ya mikoa na wakulima watapata pembejeo kupitia makampuni yenye vibali vya kusambaza.
 
Maofisa wa TAKUKURU walienda baada ya kupewa ruksa na Mkurugenzi wa TAKUKURU
na kikao kilikuwa muhimu huko Botswana sababu hao maofisa walikuwa ni watendaji
wa Regional block SADCC ya taasisi zote za kuzuia rushwa...
na kibali walichoomba waliregemea wangepata in time...walichokifanya ni kuwahi mkutano
since wao ni wahusika wakuu wa mkutano huo...wako secretarieti...na gharama zilikuwa za SADCC sio serikali...

yaliyobaki ni majungu tu ya kitanzania
 
Adhabu inawanyemelea watumishi wa serikali waliokaidi agizo la kutosafiri nje ya nchi bila kibali cha Rais John Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.

Habari zilizopatikana kutoka baadhi ya wizara zilieleza jana kuwa tayari baadhi ya Makatibu Wakuu wa Wizara wameshapewa orodha ya majina ya watumishi waliosafiri nje ya nchi kinyemela.

Chanzo kimoja cha habari kimesema kuwa tayari majina hayo yamepatikana na kinachofanyika sasa ni kupitia taratibu, sheria na kanuni kabla ya kuwachukulia hatua.

Watumishi wanne wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wamesimamishwa kazi kwa kwenda nje ya nchi licha ya maombi yao ya kusafiri kukataliwa na mamlaka.

Jana Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto, Dk. Donald Mmbando alikiri kukabidhiwa taarifa kuhusu watumishi waliosafiri nje ya nchi bila kibali cha Ikulu na kwamba kwa sasa kuna taratibu ambazo zinafanyiwa kazi na ngazi husika kwa ajili ya kuchukua hatua zaidi.

“Ni kweli niliagiza nipatiwe taarifa ya watumishi hao na nimeshapewa ila kuna tataribu ambazo zinafanyiwa kazi na zitakapokamilika itatolewa taarifa ya wale wote waliosafiri na wamefanywa nini,” alisema Dk. Mmbando.

“Kwa sasa siwezi kulizungumzia ila likikamilika tutawajulisha.” Hivi karibuni Dk. Mmbando alitoa taarifa kwa wakuu wa Idara wizarani kwake akiwataka ifikapo Desemba 21 awe amepata taarifa ya wale wote waliokiuka agizo la Rais la kutosafiri nje ya nchi.

Dk. Mmbando aliandika dokezo kwenda kwa wakuu wa idara hiyo ambayo iliwataka kuwataja watumishi walio chini yao ambao walisafiri nje ya nchi baada ya katazo la Rais Dk. Magufuli.

Katika dokezo hilo walitakiwa kueleza watumishi hao wamesafiri kuelekea nchi gani, tarehe ya safari, madhumuni ya safari hizo, safari hizo zimegharamiwa na nani pamoja na kiasi cha fedha kilichotumika.

Waliosimamishwa kazi Takukuru ni Msemaji Doreen Kapwani, Mary Mosha, Ekwabi Mujungu na Rukia Nikitas.

Awali, Ofisi ya Rais ilisambaza mwongozo kwa taasisi na mashirika ya umma unaoweka masharti ya ambayo watumishi wa umma wanaotaka kusafiri nje ya nchi watatakiwa kuyatimiza ili wapewe kibali cha kusafiri.

Masharti hayo ni kuomba kibali kwa Katibu Mkuu Kiongozi Sefue na maombi hayo yawasilishwe kwa Msajili wa Hazina kabla ya kwenda kwa Sefue ili mwombaji aweze kujenga hoja kwa kuzingatia umuhimu wa safari hiyo na tija itakayopatikana kutokana na safari hiyo.

Masharti hayo yanamtaka Mtendaji Mkuu wa Shirika ama taasisi apime aone kama safari hiyo ni muhimu kuombewa kibali kwa Katibu Mkuu Kiongozi kabla ya kuwasilishwa Hazina.

Sharti lingine ni umuhimu wa safari hiyo na isipofanyika itaathiri vipi taifa na mwombaji aeleze manufaa ya safari hiyo kwa taasisi na taifa kama imewahi kufanyika huko nyuma.

Ofisi za Umma zilipokea barua kutoka kwa Msajili wa Hazina Novemba 12 mwaka huu ikieleza kuwa Rais Magufuli ametoa zuio la jumla kwa safari za nje ya nchi katika utumishi wote wa umma na mihimili yake. Barua hiyo ya Hazina ilisema zuio hilo litadumu hadi pale itakavyoelekezwa vinginevyo.

Mpekuzi blog
Wengi wa watumishi wanaosafiri nje ya nchi hawagharimiwi na serikali na hivyo kuwachukulia hatua ni kuwaonea na serikali kujidhalilisha!

Isitoshe vibali kutoka ikulu huchelewa sana kutokana na urasimu! Fikiria mtu yuko Rukwa au Kigoma amepata study tour, na taarifa zimemfikia ndani ya mwezi mmoja au pungufu, mchakato wa kupitisha kibali hadi kifike ikulu ni wiki mbili au zaidi. Sasa kibali hicho hadi kimfikie muhusika muda wa safari unakuwa umepita! Matokeo yake muhusika anakosa mafunzo na Taifa linakosa utaalamu kwa upumbavu tu!
 
Tufikir iv rais ataratib vibali vya kwenda nje ya nchi nionavyo rais atapoteza mda mwing maana maombi yatakua mengi sana
 
hujajua maana ya vipaumbele wewe?au ndio walewale, eleza hapa pembejeo zimepelekwa wapi na nani amepewa,kama hulimi wala hufugi huwezi jua ninachozungumza hapa.
Sio lazima usikie kila kitu, sio vyote vinakuwa published. Hata hivyo, coupons za kupata pembejeo kwa ruzuku zimetolewa kwa baadhi ya mikoa na wakulima watapata pembejeo kupitia makampuni yenye vibali vya kusambaza.
 
''Ukienda nje, umeambiwa usiende nje ukakaidi utasimamishwa kazi tu, na mimi nasema waasimamishwe kazi tu, maana hakuna namna nyingine"
Siyo kosa lako ni kwa sababu ya ujinga na upumbavu wako!
 
Angekaimisha kwa makatib wakuu,,wa kila wizara,,,kwa kweli hatuwez kupata maendeleo kwa kijigungia
 
Siyo kosa lako ni kwa sababu ya ujinga na upumbavu wako!
Rais Magufuli ndiye aliyetoa maagizokuwa watumishi wasiende nje bila ya kibali chake au kibali cha katibu mkuu sasa nani mpumbavu kama mtu amekaidi agizo la rais?
 
kuna mambo mengi sana ya kufanya kwenye hii nchi,zaidi ya kuviziana kwamba nani kasafiri nani hajasafiri, nilitegemea kusikia swala la pembe jeo za kilimo,mabwana shamba wakipewa maelekezo ili kusaidia secta ya kilimo kwakua ndio sector inayoajiri zaidi, lakini sijasikia,dawa feki zimejaa maduka ya kariakoo hakuna tamko lolote,mbegu feki zimejaa maduka ya pembe jeo lakini sijasikia lolote,zaidi ni kuviziana nani kachelewa nani kawahi,nani kasafiri nani hajasafiri.

ku
We kweli msemakweli
 
Back
Top Bottom