Kiafya zaidi

Mnaopenda kupiga mswaki mara baada ya kula pitieni hapa kuna ushauri unawahusu
 
Hahaaa ila watu hufanya hivyo kama wana mechi zinazosababisha pumzi kukaribiana ...
 
Hahaaa ila watu hufanya hivyo kama wana mechi zinazosababisha pumzi kukaribiana ...
Hivi kwanini siku za mechi hasa zile spesheli maandalizi huwa ya uhakika?
 
Duh! Mi kila nikimaliza kula tu hasa usiku naswaki ndio ni lale sirudii tena
 
Kiongozi kweli, nalifahamu hili darsa.

Ahsante kwa kuwanufaisha wanaJF
 
Mnaopenda kupiga mswaki mara baada ya kula pitieni hapa kuna ushauri unawahusu
mimi mmoja wao aiss...sasa yale mabaki nayafanyaje huko kwenye meno wakati nakuwa naenda kukutana na watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…