Ooyooo samahani hapa leo napita kwa mbali nisije nikawambiwa nina husda na mimi ni mgeni kutoka mkoa wa unguja na ugeni wangu ndio nimekuja kuwafundisha wana J F lakini wanaume huwa hawaonishani vidoli na kama mipasho ni bora tukaenda dodoma kwa siku laki tatu tena bila ya jasho la makalio kutoka na ukweli unauma RTZ