Isingekuwa vigeni, mwanamke kuchumbia
Nina imani hadi kupeana kwenu taarifa za kukutana , mlikua mkielezana private.
Sikubali kua Funza aliku'invite kwa ku'establish thrade.
Sasa wewe kuja kumuanika hapa sidhani kama umemtenda jema.
Mwanamke asiye na SIRI au asojua lipi la FARAGHA na lipi la MNADANI ni shughuli .
Una kipi cha kutueleza na kikatukolea tukusikuweke kwa wanaoitwa MCHARUKO ?
Kule kwetu ZNZ mcharuko ni sifa ya mwanmke anayestahili kuolewa babu.
Kuna mangapi watu humu wanayaanika na husemi?
Au ndo wewe funzadume una ID mbili
Ina huu
Kwa hiyo unanishauri nisiende? semeni jamani nijue kama nasuka au nanyoa?
Isingekuwa vigeni, mwanamke kuchumbia
Ningepita mitaani, mume kujitafutia,
Nisimuudhi Manani, ndio nimejizuia.
Mke asiye na mume akamchumbie nani?
Ndege maingainga, si jambo la kujitakia,
Mume mwema natamani, vipi tajitafutia?
Na mwanamume haini, sitaki kunichumbia,
Mke asiye na mume akamchumbie nani?
Nimetulia nyumbani, sina mume kunioa,
Wanifuatao ndani, si wachumba wa kuoa,
Hutaka kunirubuni, maasini kunitia,
Mke asiye na mume akamchumbie nani?
Hee!
Mbona wan'tisha mbona namie wa huko ?
Nimezaliwa V.I. Lennin Hospital , kwetu Mazizini Unguja.
Kindargaten nimesomea Saaten, na Skuli ya Kiembesamaki ndiyo primary yangu.
Nevertheless , am not agree with you! Due that customs!
That's not Zanzibarian behavior ! That's a native's traditional !
So far huyo Funza kwa Styles ya miondoko hiyo incase aki'success kukudropisha kabati utashindwaje kutuletea Sredi hapa ukitueleza size - inches za Mtalimbo wake, na ni nene , fupi , nyeusi n.k n.k
ikiwa wadai huna SIRI ?
Afu kuhusu MCHARUKO iko micharuko aina mbili ;
1. Mcharuko kitandani .
2. Mcharuko kichwani .
Waambaje ami yangu, kumbe wewe ni UAMSHO wa ukweeeee
Mie ni mcharuko wa kote kote kwa taarifa yaki ukija Makunduchi mwezi wa 12 kwenye jaramba la Mwakakogwa utanikuta nikizicheza zile za Bi Kidude kwa usrtadi mkubwa.
Zinduna!
Hatimae nimekukubali ! Niulize kwa nini ?
Yo're real understandable and sensitive Cheatcheter !
Because nimejaribu with traping kukutia ndimu kimaksudi ili uhamanike! Kama si nikupanikishe bt umekua uki'diverge from one trap to another! Nimekubali u'mkomavu na Chtcht .
Mzee wa Rula kamwagia SIKI kwenye jeraha jipyaaaa, mkuda kaa ninihuyo raia hakuwepo siku ile...... ila sioni sababu ya wewe kumuogopa
Mzee wa Rula kamwagia SIKI kwenye jeraha jipyaaaa, mkuda kaa nini
Bora wewe umesema, ngoje nijongee eneo la tukio, kikisanuka nitaja waeleza hapa hapa
Cha kwangu ukikitaka, isiwe chako waficha,
Kwangu ukila nafaka, kwako sinilishe kucha,
Nikikupa vya kuoka, nigee japo mchicha,
Niheshimu nikweshimu, unipende nikupende.
Wepesi wa kupokea, uwe na kwenye kutoa,
Kitu mtu kikugea, wewe sibaki kodoa,
Nawe kimpelekea, upamoja hutopoa,
Niheshimu nikweshimu, unipende nikupende.