englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Ni mikadi beach kigamboni pale.......hiyo picha ya pili sio Cocobeach kweli hapo.:lying:
mimi49 mambo yetu haya....
Ni mikadi beach kigamboni pale.......
dah hio beach nikiiangalia tu natamani ningekuwepo yaani inavutia...itabidi tuend tukachezee maji!mimi49 mambo yetu haya....
Ha ha ha haya bana ngoja nimrudishe madengeasigwa kwanini umemtoa madenge wetu.alikuwa anaendana na coment zako
hapo Coco bana
Ha ha ha haya bana ngoja nimrudishe madenge
Tuende mwenzangu.. watu8 katununulisha swimming costumes mpaka leo hatujapelekwa beach wala kavu....dah hio beach nikiiangalia tu natamani ningekuwepo yaani inavutia...itabidi tuend tukachezee maji!
Pwani ya kiwengwahiyo picha ya pili sio Cocobeach kweli hapo.:lying:
Pwani ya kiwengwa