Ki Aziz apewa mama mpya na Watanzania. Makanjanja hawapo nyuma, yamegeuka machawa waandamizi

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Mambo ni mengi muda mchache ni vurugu mechi zahapa na pale, makanjanja yaliyoamua kujivika uchawa na kudhalilisha taaluma ambayo huwa inaaminika kwamba ni mhimili wa 4 yaani media, basi ni vurugu tupu kama chawa la Gsm linalo ji disguise kama chambuzi la clouds fm nalo likamsingizia mwanamke aisyejulikana jina kwamba ni mama wa Ki aziz

Uchawa ni laana walahi, mtu anayedhaniwa kwamba ni journalist basi post hata vitu vya ukweli basi mbona u ki google tu mama wa Ki aziz unampata, why una spread fake news ili uonekane Fabrizio Romano?

mama wa ki.jpg
kanjanja.JPG
 
Mambo ni mengi muda mchache ni vurugu mechi zahapa na pale, makanjanja yaliyoamua kujivika uchawa na kudhalilisha taaluma ambayo huwa inaaminika kwamba ni mhimili wa 4 yaani media...
Af Wewe Unakuwa Bize Sana Na Mambo Ya Yanga Unapeenda Habari Za Yanga , Hivi Zile Million 23 Za Rungu La CAF Mmeshalipa Au Mnasubiria Kupelekwa Polisi?? Eeeh! Nyiee?!
 
Cc tumeikana kwa kuwa hatuendani na unafiki na udhambiki mkubwa kama wa uto wanaoahindwa kuwaambia ukweli mashabiki wao anyway uchaguzi ukipita ni mengi yatawaacha watu midomo wazi
Mmeikana Baada Ya Kupigwa Cha Mbavu Na Mr Ki, Barua Ilikuw Inasambaa Tangu Asubuhi Hamkuiona Mpaka Mje Kuikana Karibia Na Jioni Sijui Ni Jioni Kabisa
 
Mmeikana Baada Ya Kupigwa Cha Mbavu Na Mr Ki, Barua Ilikuw Inasambaa Tangu Asubuhi Hamkuiona Mpaka Mje Kuikana Karibia Na Jioni Sijui Ni Jioni Kabisa
Sisi tumeikataa ila nyinyi mmeikubali na wakati sio kweli. Kati ya hizo picha mnazosambaza ipi ni ya kusaini mkataba?

Kama hili ni gumu basi naomba picha ya pamoja walioyopiga.

Kama na hili halijibiki basi ni lini Side alienda huko ma wakati walisema hakurudisha fomu ya uchaguzi kwa kuwa yupo nje kikazi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom