Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 5,012
- 24,480
Mungu atamtunza atakua vyema kwa kimo na maarifa, atakua buheri wa afya teleMtoto hajambo now Kapona mwanzo alitutisha kidogo. Tumuombee kheri katoto akue salamaπ
akimaliza miezi mitatu tumtafutie ndugu yakeπ
Ule kwa raha zoteπππππππππππheeheehe
Hata Yesu hajateswa msalabani mshaanza kutakiana kheri ya Pasaka.
Hata hajashuka kuzimu.
NasubiriUle kwa raha zote
Tutaenda saa ngapNasubiri
Madam jambo letu nililisahau. Kesho uhakika 100%.[emoji23][emoji23][emoji23]
Nasubiri After Eid ndo tutaenda vizuri dada zangu wote waislam ππππTutaenda saa ngap
Mimi si nipo boss mtotoNasubiri After Eid ndo tutaenda vizuri dada zangu wote waislam ππππ
Basi twende Easter MondayMimi si nipo boss mtoto
Amen. Na iwe ivyo. .Mungu atamtunza atakua vyema kwa kimo na maarifa, atakua buheri wa afya tele
Ana changamoto gani huyo!? Chloroquine haina dripu.Wew dr embu sikia nenda kule kachukye dripu ya kolokwini mchome Gily akili zimeluka tena
Embu mchomo ase ni mlipokaji sana humu kila mahali yupo kama mahindi ya kuchomaAna changamoto gani huyo!? Chloroquine haina dripu.
Huyu tumpige dawa ya Usingizi.
Unafikiri huyu anayesheherekea pasaka wakati Yesu hajateswa atakuw ni Pilato tu Amejuaje Yesu Anatolia Sayaka?Madam jambo letu nililisahau. Kesho uhakika 100%.
Tusubiri kwanza Yesu ateswe nitarudi kukutakia kheri ya Pasaka.
πππππniweke jiti la nini mie sio shida zanguπππππAmen. Na iwe ivyo. .
Sasa vipi kuhusu tumtafutie mdogo wakeπ au na wewe unaweka jiti aka gogo kwenye mkono kuzuia mimba zisiingieπ€£
πππ umenibadilisha jina tenaUnafikiri huyu anayesheherekea pasaka wakati Yesu hajateswa atakuw ni Pilato tu Amejuaje Yesu Anatolia Sayaka?
Unataka kuna kula kitimoto kilo mbili na mzinga wa nyagi kwangu hakuna nenda kwa Freeman Mboweπ€£Bora nile kwa watu kuliko kuja kula kwako jf nzima itajua kua nimeondoka na chakula kwemye ramboo
Nilikisahau karibu
Weeee kweli subiri subiri yaumiza matumbo au ngoja ngoja utakuta mwana si wakoππππππniweke jiti la nini mie sio shida zanguπππππ
Ila muda bado