Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,435
Nilikusahau embu weka nambaBwana wee asante in advance japo sipo hapo
Tunapokea mihamala in advance sisi ndugu zake Yesu
Wewe hii ni chombo ya fundiπNilikusahau embu weka namba
InakujaNilikusahau embu weka namba
Wewe hebu subiri nipate hela ya sikukuu jamaniWewe hii ni chombo ya fundiπ
Sawa ila ukipata uje unichukue tukale bataπWewe hebu subiri nipate hela ya sikukuu jamani
Fundi yupi unaemsemea hapa πWewe hii ni chombo ya fundiπ
Ukija uje umeshiba usije kama ulivyokuja xmass supu yote ulikunywa peke yakoTunapokea kheri za pasaka ila naona unatoa kheri bila mialiko. Bahati mbaya sinywi pombe ila cheusi aka pilau nakula π
Ije chap mremboo wa kitambaa cheupeInakuja
Mimi huyu ππππSawa ila ukipata uje unichukue tukale bataπ
Nilikisahau karibuππ
Haha π unaend kula kwa watuUkija uje umeshiba usije kama ulivyokuja xmass supu yote ulikunywa peke yako
πππππππππππheeheeheIje chap mremboo wa kitambaa cheupe
Bora nile kwa watu kuliko kuja kula kwako jf nzima itajua kua nimeondoka na chakula kwemye rambooHaha π unaend kula kwa watu
Mtoto hajambo now Kapona mwanzo alitutisha kidogo. Tumuombee kheri katoto akue salamaπMimi huyu ππππ
Kwanza katoto ketu hakajambo