Kheri ya Mwaka Mpya wa Kiislamu 1445

Kheri ya Mwaka Mpya wa Kiislamu 1445

Yesu ALIKUJA miaka 2023 iliyopita
Mohamed ALIKUJA miaka 1445. ILIYOPITA

UISLAMU UMEANZISHWA na Mohamed Miaka 600 Baada ya Yesu.

WALE WAPUMBAVU NA WABISHI WOTE WA ALA CHUKUENI HII.
 
Ukisoma historia ya dini, Issa sio Yesu. Ni obvious hilo liko wazi.

Ni waislamu walijaribu kutaka kuhusisha uislamu na yesu angalau kutafta relevance ila ukisoma Quran na Biblia ni vitabu vimeandikwa na viumbe 2 tofauti.

Haiwezekani Mungu akamtuma Yesu aje kufundisha habari njema za upendo na kupendana, msamaha na kusameheana, kujaliana, kutokulipa kisasi kua na huruma nk halafu ghafla Mungu akamtuma Mohamed aje kutangaza mauaji, kuua watu, kubaka watoto, kulawiti watu nk.

Mungu wa kwenye Quran ni Mungu ambae kama amechanganyikiwa, yuko very frasturated, amevurugwa na maisha, amejaa visasi, hana huruma, hana msamaha, God of no mercy. Mungu wa kulazimisha watu wakubaliane na hoja zake za kitaahira ukikataa anataka uuwawe nk.
 
Haifai kwa Waislamu kusherekea wala kupongezana mwaka mpya ,haipo katika miongoni mwa sikukuu za kiislamu.
 
Hao waislamu uanolalamika waliwekwa gerezani miaka kumi Tanganyika unajua waliwekwa na nani?

Nyie sherehekeeni huo mwaka wenu, msichimbue mengine mkajiharibia hiyo sherehe yenu wenyewe.
HAO usinambiee nambie wale walioachwa juzi Arusha na wale walioachiwa Mtwara
 
Kuna unachokitafuta nakuhurumia kitakuharibia hii sherehe yenu, bora ufanye kilichokuleta hilo ili hilo pilau lenu lisije geuka makande.. naamini umenielewa!.
 
Katishe kunguru mikwala ya kitoto usiniletee hapa anza nimalize mtoto wakiume inaleta mambo ya mipasho
 
Wewe ndie umeleta uzi ajabu unaniambia nianze mimi, una upeo mdogo sana, hata unayoandika huyajui, nitakuonea bure.
 
Mwamedi alimbaka mtoto Aysha wa miaka 9
Mama wa Yesu,Maria aliolewa na Yeshua miaka 90,Maria akiwa na 13,hapa alibakwa?Watu wa mashariki ya kati,wanaokula nyama na maziwa,usiwafananishe na watu wa Afrika wanaokula ugali na chumvi.Wale wa mashariki ya kati wana afya
 
Ukisoma historia ya dini, Issa sio Yesu. Ni obvious hilo liko wazi.

Ni waislamu walijaribu kutaka kuhusisha uislamu na yesu angalau kutafta relevance ila ukisoma Quran na Biblia ni vitabu vimeandikwa na viumbe 2 tofauti.

Haiwezekani Mungu akamtuma Yesu aje kufundisha habari njema za upendo na kupendana, msamaha na kusameheana, kujaliana, kutokulipa kisasi kua na huruma nk halafu ghafla Mungu akamtuma Mohamed aje kutangaza mauaji, kuua watu, kubaka watoto, kulawiti watu nk.

Mungu wa kwenye Quran ni Mungu ambae kama amechanganyikiwa, yuko very frasturated, amevurugwa na maisha, amejaa visasi, hana huruma, hana msamaha, God of no mercy. Mungu wa kulazimisha watu wakubaliane na hoja zake za kitaahira ukikataa anataka uuwawe nk.
Ni kweli Issa sio Yesu.Yesu aliomba kikombe cha umauti umuepuke,Kwa Mungu wake,hakikumuepusha,akauliwa.
Lakini Issa aliomba kwa Mungu wake,kikombe kimuepuke,Mungu wake akamkubalia,hakuuliwa,alipaishwa mbinguni,yuko hai hadi leo.
Issa hajafariki mpaka leo yuko mbinguni.
Yesu alifariki,kwa kuuliwa.
 
Huo mwaka mpya wa kiislam kasherehekeeni kwenye nchi za kiislam. Why mnasherekea na kutakiana kheri katika nchi ambayo haiongozwi kiislam na raia wake hawajui kama kuna mwaka wa kiislam? Hatutaki udini kwenye nchi ya kesekyula
 
Tukiwa katika maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu twawatakia kila la kheri ya mwaka mwaka mpya Waislamu wote ulimwengu, tuendeleze mshikamano kuvumiliana na huku tukiendelea kupambana kufata Sheria kandamizi kama Sheria ya ugaidi ambayo ipo maalimu kwa kuwakomoa, kuwaadhibu na kuwauwa watu wasio na hatia yoyote.

Ni juzi tu Mahakama imewaachia huru Waislamu waliokaa zaidi ya miaka tisa gerezani kwa tuhuma za ugaidi, kisha wakaachiliwa huru bila maelezo yoyote. Si hao tu, Wazanzibari zaidi ya 30 pia waliwekwa gerezani huko Tanganyika wakati wanadai Zanzibar yenye mamlaka kamili, wakapachikwa kosa la ugaidi na kukaa zaidi ya miaka tisa kisha kuachiwa bila masharti yoyote.

Waislamu duniani kote wanapitia machungu mbalimbali kisa imani yao kwa Mungu wao. Huko Kenya mshukiwa mmoja wa ugaidi alimwambia hakimu aliemwachilia huru baada kumuona hana hatia kwamba yupo tayari kuendelea kukaa gerezani hata kama kamuona hana kosa kwa sababu wenzake wengi baada kuachiliwa huru waliuwawa na wengine walipotea moja kwa moja.

Wakati tunaadhimisha mwaka mpya kwa njia za amani na za kidemokrasia, tuendelee kupambana kuwatafutia utulivu na haki ya kujueleza wale wanapitia machungu na ukatili duniani kote.

Happy new year 1445, kwetu leo ni mapumziko. Akhsante Serikali yetu sikivu kwa kuliona umuhimu wa hili.
Hongereni kwa kuanza mwaka mwingine.

Ushawahi kujiuliza kwanini uislamu unaambatana sana na shutuma za ugaidi!?
 
Ujinga wa kujiona sisi ni bora mbele ya MWENYEZI MUNGU kuliko watu furani bado unawatafuna waumini wengi
But when it's matter of national security hakuna wa kucheka na nyani
Happy New year
 
Mwamedi alimbaka mtoto Aysha wa miaka 9
Mmhh
tapatalk_1575137946425.jpg
 
Tukiwa katika maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu twawatakia kila la kheri ya mwaka mwaka mpya Waislamu wote ulimwengu, tuendeleze mshikamano kuvumiliana na huku tukiendelea kupambana kufata Sheria kandamizi kama Sheria ya ugaidi ambayo ipo maalimu kwa kuwakomoa, kuwaadhibu na kuwauwa watu wasio na hatia yoyote.

Ni juzi tu Mahakama imewaachia huru Waislamu waliokaa zaidi ya miaka tisa gerezani kwa tuhuma za ugaidi, kisha wakaachiliwa huru bila maelezo yoyote. Si hao tu, Wazanzibari zaidi ya 30 pia waliwekwa gerezani huko Tanganyika wakati wanadai Zanzibar yenye mamlaka kamili, wakapachikwa kosa la ugaidi na kukaa zaidi ya miaka tisa kisha kuachiwa bila masharti yoyote.

Waislamu duniani kote wanapitia machungu mbalimbali kisa imani yao kwa Mungu wao. Huko Kenya mshukiwa mmoja wa ugaidi alimwambia hakimu aliemwachilia huru baada kumuona hana hatia kwamba yupo tayari kuendelea kukaa gerezani hata kama kamuona hana kosa kwa sababu wenzake wengi baada kuachiliwa huru waliuwawa na wengine walipotea moja kwa moja.

Wakati tunaadhimisha mwaka mpya kwa njia za amani na za kidemokrasia, tuendelee kupambana kuwatafutia utulivu na haki ya kujueleza wale wanapitia machungu na ukatili duniani kote.

Happy new year 1445, kwetu leo ni mapumziko. Akhsante Serikali yetu sikivu kwa kuliona umuhimu wa hili.
Hili koloni letu linakausumbufu flani
 
Back
Top Bottom