KHERI YA MWAKA MPYA NA MAMBO MAPYA.

Wiseboytz

Member
Dec 30, 2016
15
10
Mwaka ndo huo umeingia sijui kama umekuja na neema!!! Maana sitacki kukumbuka ya nyuma ni kweli mwaka ulopita ni mwaka ambao wengi wao hatutousahau, mpaka sasa tumepoteza wapendwa wetu, tumekutana na changamoto nyingi kama vile maisha magumu pia mizunguko ya pesa kudolola, matukio ya ajabu yalishamiri mwaka 2016 tena ya kutisha. Tumwombe Mungu atujalie maisha mema yenye baraka njema, najua kuwa waliouona wakiwa hai na wengine walitamani kuuona ila imeshindika .
TUMUOMBE MUNGU ATUJALIE HUU MWAKA UWE WA NEEMA NA AMANI..
e5b1c7b729e342d8c5453d507ad1920e.jpg
 
AHSANTE, heri ya mwaka 2017 kwako unaosoma ujumbe huu.
Ni kwa Neema, na kibali cha MUNGU tumefika mwaka 2017. Kama tungetakiwa tulipie maji, tulipie pumzi, tulipie uhai, mimi nisingeweza kufika mwaka huu. Namshukuru MUNGU kwa neema zake, natamani kupitia wewe, watu wakawe mashahidi wa matendo makuu ya MUNGU, tusiwe mashahidi kwa matendo makuu yanayotendwa kwa wengine tu.
Amen
 
Mwaka ndo huo umeingia sijui kama umekuja na neema!!! Maana sitacki kukumbuka ya nyuma ni kweli mwaka ulopita ni mwaka ambao wengi wao hatutousahau, mpaka sasa tumepoteza wapendwa wetu, tumekutana na changamoto nyingi kama vile maisha magumu pia mizunguko ya pesa kudolola, matukio ya ajabu yalishamiri mwaka 2016 tena ya kutisha. Tumwombe Mungu atujalie maisha mema yenye baraka njema, najua kuwa waliouona wakiwa hai na wengine walitamani kuuona ila imeshindika .
TUMUOMBE MUNGU ATUJALIE HUU MWAKA UWE WA NEEMA NA AMANI..
e5b1c7b729e342d8c5453d507ad1920e.jpg
Kalia hayohayo ya kuhubiri mzunguko wa pesa kudolola ,na mwaka 2017 mzunguko utaendelea kukudololea zaidi.

Za kuambiwa na mmeo Mbowe, changanya na zako
 
Back
Top Bottom